Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Weeee ninayo bana, sema naisahaugi tu, kichwani zimejaa za watoto tupu!! daaah majukumu haya hadi unasahau yako khaa, ila ngoja nikiikumbuka nitawastuaga
Teh tushtue tu tuje tukufanyie fujo ya maana
 
Weeee ninayo bana, sema naisahaugi tu, kichwani zimejaa za watoto tupu!! daaah majukumu haya hadi unasahau yako khaa, ila ngoja nikiikumbuka nitawastuaga

Duuuh hadi wewe una besidei? Kweli Mungu mkubwa!!
 
Unakana undugu wetu? Juzi tu tumetoka kukusamehe kisa kile kichambo ulichotupa

Haaahaaa hapana sista, nitakuwa nawaalika besidei za watoto bana. Mimi na wifi yenu tulishaacha hizo mambo, tunawafanyiaga watoto tu
 
Haaahaaa hapana sista, nitakuwa nawaalika besidei za watoto bana. Mimi na wifi yenu tulishaacha hizo mambo, tunawafanyiaga watoto tu
Aah wewe hufanyi birthday ila tuambie tu ikifika afu uone dada zako tunavyokujali
 
Mmh Mmh Mmh bora nilale tu home. Nyie watu 2 hamfai hata kwa kusukutua. Na ile budget yenu ya buku 10 akhuuu mtaniua kwa mihogo. Naenda kwa jirani kugongea spray ili nitoke na my kaka mito

Eeh ntatembea tu bila tei tei

Karibu sana mpendwa

Hongera yako kwa kutimiza siku yako ya kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaa hapana sista, nitakuwa nawaalika besidei za watoto bana. Mimi na wifi yenu tulishaacha hizo mambo, tunawafanyiaga watoto tu

Si mpaka uwe na besidei
 
Back
Top Bottom