Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Asante kwa taarifa sista atoto
Hahaaa leo siwezi toa makavu live bana, sitaki kumharibia dadaangu Heaven Sent siku yake bureee!! Hata hivyo nilishamtumia ile deodorant yake tiyari, niliongeza na kipafyumu fulani cha kishkaji, so hope ananukia vilivyo leo!! Tatizo viatu mmh sijui atavaa vile vya jumapili kanisani, loh!
 
Last edited by a moderator:

Hahaha ndo maana nakupendaga tu bure. Viatu nimedaka vipya jana buku 3 tu[emoji23] [emoji23]
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa taarifa sista atoto
Hahaaa leo siwezi toa makavu live bana, sitaki kumharibia dadaangu Heaven Sent siku yake bureee!! Hata hivyo nilishamtumia ile deodorant yake tiyari, niliongeza na kipafyumu fulani cha kishkaji, so hope ananukia vilivyo leo!! Tatizo viatu mmh sijui atavaa vile vya jumapili kanisani, loh!

Hivi si nimekuambia leo hakuna makavu? Kusoma unaelewa lkn?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa samahani sista, ila nilikuwa nakupa taarifa tu kuwa nimeishamuwezesha tiyari

Hapo sawa hayo ndio maneno, maana mtoto kilizi huyu asijetuharibia shughuli
 
Back
Top Bottom