Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Aaaah wapi, sema najivunia tu kuwa na wadada kama nyie!! aki na ukwa, teh teh

Sema tu wivu umekushika, tatizo wewe hauna siku ya kuzaliwa tungekuspoil nawewe kidogo, basi tena.
 
Teh mkweo muda wote anataka hip hop tu, na zile lugha zao me sina dictionary leo

Hahahaaaa! Leo atusamehe kwakweli lugha haipandi kabisaa ni ekotite tuu, dikshonari tutatafuta keshokutwaaaaa!
 
Sema tu wivu umekushika, tatizo wewe hauna siku ya kuzaliwa tungekuspoil nawewe kidogo, basi tena.

Weeee ninayo bana, sema naisahaugi tu, kichwani zimejaa za watoto tupu!! daaah majukumu haya hadi unasahau yako khaa, ila ngoja nikiikumbuka nitawastuaga
 
Back
Top Bottom