Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Kula nguruka si ilikuwa party before the party?, halafu bado party yenyewe, halafu tukimaliza hiyo tunafanya party after the party, na mwaka mpya. 🙂
Duuuuuh!!! Hizo party zote kwa gharama za nani?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Yaani pale ndio tulikuwa tumemaliza kila kitu.
Tehe, umeona hii [emoji116]

HS Itabidi siku ya mtoko tubebe handbags kubwa ili kuweka running shoes, just in case. [emoji2]
Atoto asijetuponza.
Mjitahidi tu mbebe.
 
Duuuuuh!!! Hizo party zote kwa gharama za nani?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Yaani pale ndio tulikuwa tumemaliza kila kitu.

Mjitahidi tu mbebe.
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom