Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe for my sake eeeh, haiyaaaaaBaba alininunia, ndio najaribu kumbembeleza hapa for the sake of our beloved dota. Ila still i......him.
Haya msalimie KakoleNdio, kaone vile!!!
Thank you my dearHappy belated birthday
Eeh nina meno 32Ndio nani huyo?
Umekua eeeh???
Teh teh..Douta tulia..Ukikua utaelewa..Kwa hiyo no mawasiliano hadi kwenye birthday ya mwanenu khaaa
Unajua kama waongo hawataurithi ufalme wa mbinguni??...Minuno mi sina bana..Acha kunisingiziaBaba alininunia, ndio najaribu kumbembeleza hapa for the sake of our beloved dota. Ila still i......him.
Uuuuh naomba direction nikuje fastaHeaven Sent njoo chukua zawadi yako kuanzia leo mpka mwisho wa mwaka ni kugawa gari sio mfano wa magari![]()
![]()
Niko poa brod, sijui wewe na familia. Thanks muchLong live my sister, hope uko poa
Njoo kijich sio mbaliUuuuh naomba direction nikuje fasta
Dk 0Njoo kijich sio mbali