Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
118
Reaction score
214
IMG-20250426-WA0011.jpg

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 
. Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar

. Nitakuja hapo mniunge mfupa wangu naona nati zimelegea 🙂🙂
 
Hatutaki ujinga wa Muungano ambao hauna faida upande unaotoa kikubwa sanaa....one sided union hatutakiiii
 
. Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar

. Nitakuja hapo mniunge mfupa wangu naona nati zimelegea 🙂🙂

Acheni ujinga wenu nyie

Huyo mzanzibar arud kwao

Muungano hauna faida, kila mtu akae kwao.

Upumbavu mtupu

Hatutaki ujinga wa Muungano ambao hauna faida upande unaotoa kikubwa sanaa....one sided union hatutakiiii
Watu mna hasira na muungano 😅💯🙌🙌
 
Hongereni saba taasisi ya mifupa na ubongo, katika miaka hii 61 tangu uhuru, taasisi yenu ina umri gani?

Tunawaomba muwe mnawasaidia viongozi wetu katika sekta ya ubongo coz nyie ndio wataalam pekee.

Wasaidieni hata ushauri ni lishe gani inawafaa ili ubongo ufanye kazi vizuri.
 
Hao walichanganya udongo wamekufa na wasimamizi pia wametangua. Basi na muungano umeenda zake agano limekufa rasmi.
 
Back
Top Bottom