GE2025 Hers Said ajitokeza kugombea Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma.

​

Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na mshindi wa kura za maoni za awali, Marehemu Job Ndugai, kilichotokea Agosti 6, 2025.

Hersi, ambaye awali aliwania Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam lakini jina lake halikurudishwa, amesema safari hii ameona ni vyema kujaribu tena kupitia Jimbo la Kongwa. Kwa sasa, anasubiri hatua zinazofuata za chama, ikiwemo kura za maoni ambazo zinatarajiwa kufanyika muda mfupi ujao
 
Serikali y ccm chini y chura a.k.a Dalali nafasi,teuzi na vyeo vinauzwa. Kachangia milioni 100 sw. Ww fukara sakala na pangupakavu huna chako.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Anarukaruka tuu!
 

 
INJINIA INJINIA HUYU MSOMALI KASOMA KWELI HIYO FANI AU NDO MAJINA YA KUPEANA??
 
Huyu anatafuta ubunge na sio uwajibikaji Kwa wananchi WA kongwa , hv mtu sio mwenyej WA kongwa unaweza kwel wakilisha kero za Wana kongwa Kwa ufanisi , elewa neno ufanisi

Hv vyeo waafrika wamevifanya kama mtaji WA kushibisha matumbo yao
 
Serikali y ccm chini y chura a.k.a Dalali nafasi,teuzi na vyeo vinauzwa. Kachangia milioni 100 sw. Ww fukara sakala na pangupakavu huna chako.
Kazi ni kipimo cha utu
Tia maji tia maji
 
Huyu anatafuta ubunge na sio uwajibikaji Kwa wananchi WA kongwa , hv mtu sio mwenyej WA kongwa unaweza kwel wakilisha kero za Wana kongwa Kwa ufanisi , elewa neno ufanisi

Hv vyeo waafrika wamevifanya kama mtaji WA kushibisha matumbo yao
Unajua hersi kazaliwa mkoa gani?
 
Maana yake kundi la wale wahuni wa Polepole lilimuua Ndugai ili mtu wao apenye kwenye siasa. Hahahah kama ya Chalinze enzi za Riz1
 
Kama kweli alitaka kuwa mbunge wa Kongwa, kwa nini alikimbilia Kigamboni!?
Hili swala la watu kugombea maeneo tofauti si lake tu na halipo ccm tu hata chadomo lipo..
Makonda aligombea kinondoni na sasa arusha lakn ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza..

Zito kabwe kule kigoma

Highness kiwia kule ilemela, lakn kazaliwa huko kaskazini.

Wenje amekuwa mbunge wa nyamagana, lakin akaona haitoshi akaenda kugombea rorya kule kwao..

Hersi ally said kagombea kigamboni kakosa, SI DHAMBI KUGOMBEA mkoa alikozaliwa miaka 41 iliyopita (karudi nyumbani)
 
Ungeweka alama ya kuuliza kwenye kichwa chako cha habari hii
 
Maana yake kundi la wale wahuni wa Polepole lilimuua Ndugai ili mtu wao apenye kwenye siasa. Hahahah kama ya Chalinze enzi za Riz1
Nenda ukalie chato, Yatima wewe wa Mwendazake
 
10B za GSM na 100m za Yanga zitambeba safari hii

Alikuwa hajasoma code za CCM

Now anajua
 
Kula uliwe MPAKA unajiuliza MBONA Hawa WATU wana lazimisha madaraka SHIDA Nini


Full stop, kwishaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…