SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
GSM alishahonga ..
KAPIGA DIT HAPOINJINIA INJINIA HUYU MSOMALI KASOMA KWELI HIYO FANI AU NDO MAJINA YA KUPEANA??
Daaaaah! Kwa hiyo ile M100 itapotea bure?Wanamla kichwa tena
Nimeshangaa sana huko yanga nimesikia mara wametoa mili 100 mara GSM katoa bilioni 10 kwa sisiemu. Ina maana huko yanga hakuna vyente/hela au.....mpaka kila siku akimbilie ubunge.Kama kweli alitaka kuwa mbunge wa Kongwa, kwa nini alikimbilia Kigamboni!?
Kipindi kile ulitamba sana na Jiwe wako.Hahaha kauli ya Ayatollah Zitto. Tulishamuambia Zitto ana laana na Mbowe wana laana
wa kuwashangaa ni wenyeji wa Kongwa kama watamchagua mtu sio wa kwao kuwawkilsiha!Huyu anatafuta ubunge na sio uwajibikaji Kwa wananchi WA kongwa , hv mtu sio mwenyej WA kongwa unaweza kwel wakilisha kero za Wana kongwa Kwa ufanisi , elewa neno ufanisi
Hv vyeo waafrika wamevifanya kama mtaji WA kushibisha matumbo yao
10b + 100M..........hapo asipoteuliwa arudi kwao Somalia.Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma.
Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na mshindi wa kura za maoni za awali, Marehemu Job Ndugai, kilichotokea Agosti 6, 2025.
Hersi, ambaye awali aliwania Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam lakini jina lake halikurudishwa, amesema safari hii ameona ni vyema kujaribu tena kupitia Jimbo la Kongwa. Kwa sasa, anasubiri hatua zinazofuata za chama, ikiwemo kura za maoni ambazo zinatarajiwa kufanyika muda mfupi ujao
Huyu jamaa Kuna kitu anakitafuta sio bure bure. Achunguzwe( wa kumchunguza nani sasa😅)Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma.
Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na mshindi wa kura za maoni za awali, Marehemu Job Ndugai, kilichotokea Agosti 6, 2025.
Hersi, ambaye awali aliwania Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam lakini jina lake halikurudishwa, amesema safari hii ameona ni vyema kujaribu tena kupitia Jimbo la Kongwa. Kwa sasa, anasubiri hatua zinazofuata za chama, ikiwemo kura za maoni ambazo zinatarajiwa kufanyika muda mfupi ujao
Sana tulitamba mno, yaani tulijiona sisi ndiyo wenyewe mwana. Hatukuona haja ya wengine, walilia tulicheka ila hakika now najutia sana kwanini sikuweza kuwa na moyo wa kuvaa uhusika wa wanaolalamika. Funzo kubwa madaraka na uchawa huwa vina muda wake ukiisha chawa unabaki na maumivu makalo uliyempambania hayupo tena madarakani. Ila mi nilikuwa chawa wa manufaaKipindi kile ulitamba sana na Jiwe wako.
Sasa acha mafisi ya Kizimkazi yatafune nchi
siyo kweliKama kweli alitaka kuwa mbunge wa Kongwa, kwa nini alikimbilia Kigamboni!?