GE2025 Hers Said ajitokeza kugombea Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama kweli alitaka kuwa mbunge wa Kongwa, kwa nini alikimbilia Kigamboni!?
Nimeshangaa sana huko yanga nimesikia mara wametoa mili 100 mara GSM katoa bilioni 10 kwa sisiemu. Ina maana huko yanga hakuna vyente/hela au.....mpaka kila siku akimbilie ubunge.
manake kuna njaa basi huko yanga lkn pia huyo si ni raisi wa vilabu afrika
 
Hapo hakuna uwakilishi wa raia hapo, Mtu siyo mwenyejibwa Kongwa unawezaje kuzijuwa changamoto za wana kongwa kwa kipindi kifupi namna hiyo,Hata kama wana kongwa hawatambui changamoto zao, lakini siyo kumleta mtu kutoka mbali aje kuwawakilisha kwani Kongwa hamna watu wanaoweza kusimama na kuwawakilisha raia huko Bungeni?
 
Hahaha kauli ya Ayatollah Zitto. Tulishamuambia Zitto ana laana na Mbowe wana laana
Kipindi kile ulitamba sana na Jiwe wako.
Sasa acha mafisi ya Kizimkazi yatafune nchi
 
Huyu anatafuta ubunge na sio uwajibikaji Kwa wananchi WA kongwa , hv mtu sio mwenyej WA kongwa unaweza kwel wakilisha kero za Wana kongwa Kwa ufanisi , elewa neno ufanisi

Hv vyeo waafrika wamevifanya kama mtaji WA kushibisha matumbo yao
wa kuwashangaa ni wenyeji wa Kongwa kama watamchagua mtu sio wa kwao kuwawkilsiha!

Lakini sishangai mbona wanaweza wakawaiga wamasai washamba wa ARUSHA MJINI kumchagua MSUKUWA kuwawakilisha

Yaani hakuna masai mwenye akili anayejua kero za kufukuzwa kwenye ardhi zao wameishia kwa msukuma Makonda! kweli!
 
10b + 100M..........hapo asipoteuliwa arudi kwao Somalia.
 
Huyu jamaa Kuna kitu anakitafuta sio bure bure. Achunguzwe( wa kumchunguza nani sasa😅)
 
Kipindi kile ulitamba sana na Jiwe wako.
Sasa acha mafisi ya Kizimkazi yatafune nchi
Sana tulitamba mno, yaani tulijiona sisi ndiyo wenyewe mwana. Hatukuona haja ya wengine, walilia tulicheka ila hakika now najutia sana kwanini sikuweza kuwa na moyo wa kuvaa uhusika wa wanaolalamika. Funzo kubwa madaraka na uchawa huwa vina muda wake ukiisha chawa unabaki na maumivu makalo uliyempambania hayupo tena madarakani. Ila mi nilikuwa chawa wa manufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…