Hersi amuonesha kiganja 5G Rais wa CAF na FIFA

Hersi amuonesha kiganja 5G Rais wa CAF na FIFA

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga Simba goli 5.

Rais wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempigia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema Simba alifungwa 5 mbele ya Rais wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha Simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa Simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]
1699761310268.jpg
 
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.

Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na raisi wa CAF.

Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga simba goli 5.

Raisi wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempia salute.

Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema simba alifungwa 5 mbele ya Raisi wa FIFA?.

Mbona hajawataja KMC?

Ameidhalilisha simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa simba kama ikitokea fursa kutoka juu

Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]View attachment 2811096
Aaaahaaaaa

Video iko wapi?
 
Waache watu wafurahie ushindi wao popote. Unacheza na wataalam wa kumiliki mpira na kuupitisha kwenye njia muafaka halafu unakabia macho unategemea nini?[emoji3]
 
Utani wa upi unao usemea.? Ni huhuu wa mashabiki wa Simba walio mpiga shabiki wa yanga na kumdharirisha.?

Simba washa utoa utani wa jadi sasa ni wahasimu.
 
Back
Top Bottom