Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Eng . HERS AMEKOSEA SANA.
Leo Hers akiwa South Africa, ameshuhudia derby kati ya Kaizer Chief na Orlando pirates akiwa pamoja na Rais wa FIFA, Pamoja na Rais wa CAF.
Kitu alichokosea, ameanza kuwasimulia jinsi Yanga ilivyomfunga Simba goli 5.
Rais wa CAF amecheka, Rais wa FIFA amempigia salute.
Utani wetu wa jadi ubaki nyumbani si kimataifa. Kulikuwa na haja gani kusema Simba alifungwa 5 mbele ya Rais wa FIFA?.
Mbona hajawataja KMC?
Ameidhalilisha Simba kimataifa...na inaweza kuwa na athari hasi kwa Simba kama ikitokea fursa kutoka juu
Video clip kwa comment [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji849][emoji849]