tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Ubungo au kigamboni ? Hersy ana akili nyingj ila ameshindwa kujua kwamba watu kama yeye ccm hawatakiwiHuyu naye hana akili tu, wewe umetemwa ubungo lakini bado ameenda kwa marehemu. Hawa GSM wanadeal gani?
KigamboniUbungo au kigamboni ? Hersy ana akili nyingj ila ameshindwa kujua kwamba watu kama yeye ccm hawatakiwi
Wanataka waendelee wasilipe kodi kabisaHuyu naye hana akili tu, wewe umetemwa kigamboni lakini bado ameenda kwa marehemu. Hawa GSM wanadeal gani?
Kama ameshindwa kufanya utambuzi kwa jambo dogo kama hili, basi hana akili.Ubungo au kigamboni ? Hersy ana akili nyingj ila ameshindwa kujua kwamba watu kama yeye ccm hawatakiwi
Waliambiwa wasaidie Yatima hawataki,ona Sasa m1:ya form umeenda Bure Kigamboni:500,000,Kongwa:500,000,arudi tuu Yanga huko!Huyu naye hana akili tu, wewe umetemwa kigamboni lakini bado ameenda kwa marehemu. Hawa GSM wanadeal gani?
Hilo ni jambo la kufanyiwa utambuzi? You bitchKama ameshindwa kufanya utambuzi kwa jambo dogo kama hili, basi hana akili.
Na yanga FIFA wataila kichwaWaliambiwa wasaidie Yatima hawataki,ona Sasa m1:ya form umeenda Bure Kigamboni:500,000,Kongwa:500,000,arudi tuu Yanga huko!
Msenge sana huyuRais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya Mngurumi akipenya.
Soma pia: Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa
View attachment 3442191
Mapema leo, Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala amesema jina la Hersi lilikuwa miongoni mwa makada 24 waliojitokeza kugombea ubunge wa jimbo hilo.
"Ni kweli Hersi ni miongozi mwa watiania wa nafasi ya ubunge ndani ya chama chetu, subirini taratibu zingine tutawajulisha, bado tunasubiri majina tuanze kampeni," alisema Mkaugala.
Hata hivyo, kwenye orodha iliyotolewa baadaye, jina la Hersi halikuwemo, sawa na la Mwalimu Deus Seif, mgombea aliyeshika nafasi ya tatu kwenye kura za maoni.
Hii ni mara ya pili kwa jina la Hersi kuondolewa kwenye mchakato wa ndani ya CCM katika majimbo mawili tofauti.
Awali, Hersi aliomba katika Jimbo la Kigamboni lakini majina ya walioteuliwa yalipotangazwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Amos Makala la kwake halikuwemo.
Wewe na huyo Hersy basi mko sawa. Kwani maana ya utambuzi ni nini?Hilo ni jambo la kufanyiwa utambuzi? You bitch