UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,166
- 3,870
Wameona itakuwa kelele zaidi , that's politics,
Wanakwambia nafasi hazijaagi CCM atapewa mnofu bahari ikitulia.
Wanakwambia nafasi hazijaagi CCM atapewa mnofu bahari ikitulia.
Na wewe unaamini hayo?Mambo mengine ni kujidhalilisha tu.
Mbona bungeni wapo wasomi mainjinia wengi tu lakini hawajateuliwa uwaziri. Hersi hana jipya lolote la tofauti na hao waliopoKuna mawaziri pale wanahofia kibarua chao hersi ni msomi injinia kwaio ungekaa bungeni kidogo tu na kuteuliwa kuwa waziri
Mkuu upo dunia ipi? Alichukua form kigamboni June, baadae kwenye mchujo wa kamati kuu akatemwa.Wajinga nyie, aligombeaje Kigamboni na Kongwa....mnavumisha tu uongo.
Mke wangu huyoo jamani.Na yanga tumteme
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya Mngurumi akipenya.
Soma pia: Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa
View attachment 3442191
Mapema leo, Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala amesema jina la Hersi lilikuwa miongoni mwa makada 24 waliojitokeza kugombea ubunge wa jimbo hilo.
"Ni kweli Hersi ni miongozi mwa watiania wa nafasi ya ubunge ndani ya chama chetu, subirini taratibu zingine tutawajulisha, bado tunasubiri majina tuanze kampeni," alisema Mkaugala.
Hata hivyo, kwenye orodha iliyotolewa baadaye, jina la Hersi halikuwemo, sawa na la Mwalimu Deus Seif, mgombea aliyeshika nafasi ya tatu kwenye kura za maoni.
Hii ni mara ya pili kwa jina la Hersi kuondolewa kwenye mchakato wa ndani ya CCM katika majimbo mawili tofauti.
Awali, Hersi aliomba katika Jimbo la Kigamboni lakini majina ya walioteuliwa yalipotangazwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Amos Makala la kwake halikuwemo.
Kweli wenzake wote waliomtangulia walijiuzuru Uongozi kwenye Timu na kwenda kugombea UBunge mfano Aden Rage, Iman MadegaKiongozi wetu hajui kuwa anatakiwa ajiuzutu urais wa Yanga ndio achukue fomu? Anashindwa kujua hili jambo dogo tu?
We mkuu we unaishi dunia gani?Na wewe unaamini hayo?
hawana connectionMbona bungeni wapo wasomi mainjinia wengi tu lakini hawajateuliwa uwaziri. Hersi hana jipya lolote la tofauti na hao waliopo