GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Gharib ni Msoga Gang wasingeshindwa kumpa Jimbo huyo wameweza kumchinja February na kuchambia katiba ya Chama watashindwa Hilo.
Ahaaaa 😁😁😁 hakika inaonekana amechoka Kulipwa ujira mdogo huku watu kwa nje wakijua ana maisha Makubwa.
 
Ninyi Wagogo mumkatae huyo jamaa kwa asilimia 100. Ana tamaa sana.
 
Sikia ndugu yangu jamaa wala hakuenda kuchukua fomu,watu wa kongwa wamemchukulia fomu na kujaza na kurudidha japo aliwaambia yeye hataki.
huko kongwa ndiko alizaliwa mama yake mzazi.tusimuonee bure hajaenda kuchukua fomu
Kumbe hizo fomu zenu hazina hata sehemu ya mgombea kusaini? Wala hakuna sehemu inayohitaji viambatanisho vya muwania nafasi?
 
Sijajua ni Mwenye Matatizo kichwani ama labda ni Tamaa ya Asili, lakini jambo hili haliwezi kupita bila kujadiliwa.

Screenshot_2025-08-15-17-07-45-1.png
Screenshot_2025-08-15-17-07-50-1.png
 
Back
Top Bottom