WAJUMBE FISI CCM WANAJUA KUCHUZA WATUMillion mia moja imeenda bureeee 😭😁
Sikia ndugu yangu jamaa wala hakuenda kuchukua fomu,watu wa kongwa wamemchukulia fomu na kujaza na kurudidha japo aliwaambia yeye hataki.Watu wamekukata Kigamboni ile ilikuwa ni taa nyekundu kuwa wewe hautakiwi na ni incompetent kwa sasa.
Huwa nachukia Sana kuona MTU anakosa maono
View attachment 3442247
Hasomi upepoMillion mia moja imeenda bureeee 😭😁
Acha upumbavu hakuna kitu Kama hichoSikia ndugu yangu jamaa wala hakuenda kuchukua fomu,watu wa kongwa wamemchukulia fomu na kujaza na kurudidha japo aliwaambia yeye hataki.
huko kongwa ndiko alizaliwa mama yake mzazi.tusimuonee bure hajaenda kuchukua fomu
MAMMBWA tu hao.Huko Kongwa ndiko alikuwa amewekeza kuliko hata Kigamboni ila Ndugai alipobadili gia angani na kuamua kugombea tena ndiyo Hersi kutimkia Kigamboni.
GSM alifadhili hadi ujenzi wa msikiti Kongwa kupalilia njia ya Injinia.
Alidhani mil 100 za Yanga zitamvusha huyo Msomali.Jamaa anamaono ya kujenga empire yake.Kachoka kuwa remote wa Gharib Yanga anaitumia kama platform ya kumpandisha kufika anapopataka.
Gharib ndiye yuko nyuma ya anguko lake.Itakuwa GSM kamzunguka kawaambia wamchinje ili aendelee kumtumikia .
Ukiachana na ujinga wake Ila yupo smart naona GSM kaamua amchinje
Gharib ni Msoga Gang wasingeshindwa kumpa Jimbo huyo wameweza kumchinja February na kuchambia katiba ya Chama watashindwa Hilo.Itakuwa GSM kamzunguka kawaambia wamchinje ili aendelee kumtumikia .
Ukiachana na ujinga wake Ila yupo smart naona GSM kaamua amchinje
Na yeye hajatumia akili kufikiriGharib ndiye yuko nyuma ya anguko lake.