njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na kati ,jamaa akatua pale South Africa kimafia kabisa na kufanikiwa kumshawishi Mnamibia Peter shalulile kutua jangwani, hizi ndizo sababu zilizochangia :
* Shalulile kachoka na Mamelodi sundowns kukosa ambitions ya kuchukua ubingwa wa club duniani na anaamini msimu ujao akijumuika na chiko ushindi na Mayele pale mbele, Yanga watachukua ubingwa wa Afrika na ubingwa wa dunia kwa vilabu na Injinia alimuhakikishia hilo ndilo lengo lao
*Mshahara atakaolipwa Yanga ni mara tatu ya ule wa Mamelodi sundowns
*Kakiri kwamba Bilionea Motsepe anayemiliki hiyo team ni bilionea wa mchongo ni bora afanye kazi na bilionea wa Gsm wa ukweli asiye na makandomakando ambaye anasifiwa sana na wachambuzi wa bongo kwa uadilifu wake na kupenda kwake soka toka moyoni na kumwaga mapesa bila ubahili
*kafurahishwa na ramani ya uwanja wa yanga kule kigamboni immemvutia sana
*Kavutiwa kufanya kazi na CEO genius Senzo ambaye hajawahi kutokea Afrika nzima
*Thamani ya Shalulile ni Euro milioni 1.7 yaani billions 4.5 lakini unaambiwa Tajiri la Yanga liko tayari kuvunja benki
Hongereni sana Yanga maana hata Rennes Ya France walichemka kumpata huyo jamaa