Hersi atikisa Afrika: Peter Shalulile aikataa Mamelodi sundowns, kutua Jangwani msimu ujao

msifie Injinia na bilionea lisilo la mchongo wala makandokando linalomwaga mahela bila ubahili siyo kama Mudi asiyejua chochote
hivi kiwanja wanachogombania na RC wa awamu iliyopita kimefikia wapi?
 
wamechukua ramani ya uwanja wa celta vigo kinaanguka kiwanja cha hatari kabisa hapo kigamboni shukrani kubwa sana kwa Daudi bashite ingawa leo wanamtukana aliwapa bure kabisa
 
kama ramani hizo zipo tu, hata Posta mpya zinauzwa
 
View attachment 2188592

Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na kati ,jamaa akatua pale South Africa kimafia kabisa na kufanikiwa kumshawishi Mnamibia Peter shalulile kutua jangwani, hizi ndizo sababu zilizochangia :

* Shalulile kachoka na Mamelodi sundowns kukosa ambitions ya kuchukua ubingwa wa club duniani na anaamini msimu ujao akijumuika na chiko ushindi na Mayele pale mbele, Yanga watachukua ubingwa wa Afrika na ubingwa wa dunia kwa vilabu na Injinia alimuhakikishia hilo ndilo lengo lao

*Mshahara atakaolipwa Yanga ni mara tatu ya ule wa Mamelodi sundowns

*Kakiri kwamba Bilionea Motsepe anayemiliki hiyo team ni bilionea wa mchongo ni bora afanye kazi na bilionea wa Gsm wa ukweli asiye na makandomakando ambaye anasifiwa sana na wachambuzi wa bongo kwa uadilifu wake na kupenda kwake soka toka moyoni na kumwaga mapesa bila ubahili

*kafurahishwa na ramani ya uwanja wa yanga kule kigamboni immemvutia sana

*Kavutiwa kufanya kazi na CEO genius Senzo ambaye hajawahi kutokea Afrika nzima

*Thamani ya Shalulile ni Euro milioni 1.7 yaani billions 4.5 lakini unaambiwa Tajiri la Yanga liko tayari kuvunja benki

Hongereni sana Yanga maana hata Rennes Ya France walichemka kumpata huyo jamaa
Vp na chama ilifikia wapiiii
 
Umeandika KISHABIKI sana! Tukubaliane kuwa, hata hapa JF wapo WAANZISHA/WACHANGIA THREAD WA "MICHONGO!!!"
 
MAKOLO WANABISHA
 
Sijui kama ni wa msimbazi, hata kama ni wa msimbazi bado kaandika ujinga, tusiwe na ushabiki maandazi uliopitiliza
Mimi husifia yeyote anayefanya vizuri, hata mbeya city wakimleta Alieu Dieng nitawasifia, mpe sifa yake Injinia Hersi na tajiri lisilo la mchongo Gsm kwa kufanikisha usajili huu mkubwa kabisa hapo pia kuna Joash onyango, Ki aziz, Adebayor na konde boy washamwaga wino jangwani
 
Haya mkuu nishajua ulipo.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia CR 7 naye kampigia simu injinia akiomba asajiliwe jangwani ktk kuhitimisha soka lake.
 
Dah anavyoongelea yanga km madrid mpira gani wabongo mpka ujitoe fahamu kiasi hicho
 
View attachment 2188592

Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na kati ,jamaa akatua pale South Africa kimafia kabisa na kufanikiwa kumshawishi Mnamibia Peter shalulile kutua jangwani, hizi ndizo sababu zilizochangia :

* Shalulile kachoka na Mamelodi sundowns kukosa ambitions ya kuchukua ubingwa wa club duniani na anaamini msimu ujao akijumuika na chiko ushindi na Mayele pale mbele, Yanga watachukua ubingwa wa Afrika na ubingwa wa dunia kwa vilabu na Injinia alimuhakikishia hilo ndilo lengo lao

*Mshahara atakaolipwa Yanga ni mara tatu ya ule wa Mamelodi sundowns

*Kakiri kwamba Bilionea Motsepe anayemiliki hiyo team ni bilionea wa mchongo ni bora afanye kazi na bilionea wa Gsm wa ukweli asiye na makandomakando ambaye anasifiwa sana na wachambuzi wa bongo kwa uadilifu wake na kupenda kwake soka toka moyoni na kumwaga mapesa bila ubahili

*kafurahishwa na ramani ya uwanja wa yanga kule kigamboni immemvutia sana

*Kavutiwa kufanya kazi na CEO genius Senzo ambaye hajawahi kutokea Afrika nzima

*Thamani ya Shalulile ni Euro milioni 1.7 yaani billions 4.5 lakini unaambiwa Tajiri la Yanga liko tayari kuvunja benki

Hongereni sana Yanga maana hata Rennes Ya France walichemka kumpata huyo jamaa
amka toka usingizini
 
Back
Top Bottom