Hakuna mwenye ubavu wa kumkosoa kijana wa tajiri na Rais ajaye.Kombe ni mali ya klabu haipaswi kutumika na mtu (mgombea) mmoja katika kutafuta namna ya kuingia madarakani, hatakama uko peke yako, inawezekana bado wapiga kura wangeweza kupiga kura za hapana. Unaenda na kombe ili kuonyesha nini
Mwenyekiti Rage alisema Simba wote ni mbumbumbu.Manara alisema yanga yote hamna akili,ni wajibu wetu wapenda soka kuwasanua
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.wewe na Hersi mna pigo za kidemu