Hersi kutumia kombe kuombea kura! Kombe ni mali ya club au GSM?

Hersi kutumia kombe kuombea kura! Kombe ni mali ya club au GSM?

Ukitaka kujua uzuzu wa watanzania gusa simba na Yanga tuu. Utaona uozo wa ubongo. Yaani vunja sheria taratibu maadili etc. Jifiche kwa Simba na Yanga tu utatetewa. Tafiti zina sema watanzania wana iq ndogo sana duniani.
 
wewe na Hersi mna pigo za kidemu
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Ajabu sana leo #Simba kuumia na Mambo ya Yanga huu upendo sijui umeanza lini kwa Mr President Injinia Hersi Said kama kungekua na uwezekano tungemwambia hata ule uwanja wa Kaunda auchukue aende nao Studio sio kombe tu hata akitaka kwenda na Yale mabasi mawili ya Yanga aende nayo tu.

Timu kambi safi/Avic
Makombe matatu
Wachezaji wa Viwango
Makocha wa Viwango
Jezi Kali
Uwajibikaji
Uwazi
Kujitoa
Upendo
Kujali
Duka makao makuu
Ukarabati jengo la Yanga
Uwanja
Mishahara kwa wakati..nk

Halafu unashangaa kwenda na Kombe Studio abebe yote 28 apakie kwenye fuso aende nayo studio yoyote

Ndio hiyo huyo Injinia

Kazumari mwambieni anapigana na taasisi imara sana yenye kujielewa.
 
Back
Top Bottom