Hersi Matches zilizobaki za Yanga zichezwe kwenye Uwanja wetu

Hersi Matches zilizobaki za Yanga zichezwe kwenye Uwanja wetu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....

 
"Afe kipa Afe beki uwanja wa watu elfu 20 utajengwa ndani ya Miaka 4 ya uongozi wangu"

Eng Hersi Said.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....

View attachment 3330302
Wameoukota wapi huo uwanja?
 
Watani zetu Mmeshalishwa supu za Makafara ya Ng'ombe, Mbwa, Punda, Ngamia, Nguruwe na kila Uchafu akili mtazitolea wapi!

Hizi Suppu hiziiii! Ndio maana kesi za watu kupotea hazikomi Mtani!
 
Back
Top Bottom