Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Wameoukota wapi huo uwanja?Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi ili tusihoji mambo ya msingi. Tunakazana kukata viuno HATUCHEDHIII....
View attachment 3330302
Atajenga tu. Mtaona"Afe kipa Afe beki uwanja wa watu elfu 20 utajengwa ndani ya Miaka 4 ya uongozi wangu"
Eng Hersi Said.