kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ahsante sana kuleni kuku wenu wa matenga mkuu!Mkuu, unateseka hivi ukiwa wapi ?
Karibu tule nyama na kuku bwana.
Hamuwezi ongea tena...Bado hamjasema..!!
Wasalimie sana wenzako wa Mohammed Sports Club.Ahsante sana kuleni kuku wenu wa matenga mkuu!
Kwa swali dizaini hizi supu ishakuchanganya akili!Wewe ulilishwa nini kutetea billion 20 imewekwa au haijawekwa?
Yupo palee ana wasolola tu wana uto!Wasalimie sana wenzako wa Mohammed Sports Club.
Hawakawii kushikiana bakora kama wamenunua wao!Naangalia hizi picha kisha nasema "NJAA MBAYA SANA"
Huo mpango ulikuwepo siku nyingi ilikua timing ya kutafuta sababu itakayo fanana!Kwani hujui chanzo Cha Haya yote ni Simba ndugu?
Ya nini supu ya mchongo!Nakuona paleee ukinywa thupu
Ccm haina timu!Watu wapuuzi kama nyie sijui kwanini mlizaliwa?
Hivi Hao Ng'ombe si walitolewa na Ccm? Je mlitaka Yanga waanza ufugaji? Si bora hapo wamewaleta pamoja mashabiki.
Hamuwezi hoji uwanja wa timu maana supu imeshawamaliza!Ila Nampa kongole mpishi nyama ni laini mchuzi msafi chombo ni kikubwa kauli za wagawaji zimejaa uungwana imagine unaulizwa "ungependa stake au mchanganyiko"[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Simba jueni mkifungwa neema zinakuwa nyingi Jangwani fungweni tena ndugu zangu