Hersi na GSM wamemaliza kazi yao

Nchi ina wajinga kweli kweli yaani mtu anaacha kula kwake na mke wake anaenda kula kwenye kijamvi.
 
Wacha watu wanywe supu wewe...Si umeona Mpaka limao, pilipili na chapati mbilimbili zinagawiwa? Lini Mohamedi alfanya mambo kama hayo?
 
Wewe nawe akili huna, hao mashabiki walioenda kunywa supu wanafika hata robo ya jumla ya idadi ya mashabiki wa Yanga Tanzania nzima? Mpaka uchukulie kama mashabiki wote wamepigwa zongo.
 
Tatizo lako ushabiki wa mpira una uchukulia seriously sana,inawezekana nyie ndio mnazimaga baada ya kupata matokeo.

Angalia mwenzako mpira kwake ni kitu cha kawaida na burudani.Huo ndio utani kwenye mpira,mtu kama huyu hata ukimtania harushi ngumi,ila wewe unaonekana upo sensitive sana na maswala ya mpira.
 
Hersi ametisha Sana supu ni tamu Sana ukinywa baada ya kupiga khamsa Makolokwinyo ila kwangu Mimi bado Hersi hajamaliza kazi.

Bado tunamtaka Eng Hersi amsajili Kibu Denis awe mwananchi ili kuizika rasmi Simba! Goli la kichwa alilotufunga mbele ya ukuta wa Berlin wa Yanga derby ya juzikati ni goli classic ila kosa lake ni kutuchokoza kwa kutoa ishara ya kutufunga mdomo Simba wakala khamsa 5G! Hivi Sasa jezi wanapigia deki!! Ukisema khamsa unakula makonde jamaa wamejaa sumu!! Hersi Mtu mbad sana eti ye alitaka Makolokwinyo wapigwe goli tano tu japo wachezaji walimwambia wana uwezo wa kuigeuza Simba ile kuwa Simba Queens na kuitungua goli za netiboli kuanzia tisa hadi dazeni 12!! Eti waliwaonea huruma tu kwa zile khamsa!!

Imagine na Yanga hii ya moto Kibu awe pale mbele na Max Nzegeli na Ki Aziz, Simba wangekula wiki (7-0)!
 
Inawezekana umekosa nauli ya kufika eneo la tukio hili povu lote ni kwa sababu gani au ndio akili zishaanza kuondoka na supu maana wamenuiwa mashabiki wote wa frog!
 
Inawezekana umekosa nauli ya kufika eneo la tukio hili povu lote ni kwa sababu gani au ndio akili zishaanza kuondoka na supu maana wamenuiwa mashabiki wote wa frog!
Endelea kuuchukulia ushabiki wa mpira kama kitu sensitive, ww mwenye akili ujazo wa kisoda ndio unaliona povu.
 
Na anakula chapati 5

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…