Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.

Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo
Your browser is not able to display this video.


Kikosi cha Yanga kimefika Salama Tanzania mapema asubuhi ya leo, Desemba 15 kwa ajili ya maandalizi ya mechi zingine zilizombele yao

Your browser is not able to display this video.
 
HaKujua club bingwa is not for everybody
 
Ataongea nini wakati anajua shida yote hii kaileta yeye? Binadamu tumeumbiwa sura ya aibu.

Mechi 3 point 1? Yanga hii iliyovitoa jasho vilabu kongwe Afrika misimu mitatu mfululizo?
Hii ni fedheha, na lawama zote ni kwa Hersi kwa kumuondosha Gamondi.

Lakini ni vyema haya yametokea ajirekebishe ingali mapema, Hersi mabega yalishazidi kichwa!
 
Vyura out
 
Msimu uliopita mechi tatu yanga walikua na point ngapi?
 
Huwezi kusonga mbele kwa kuangalia ulikotoka, Yanga iliyocheza fainali Shirikisho na kutolewa kwa mizengwe robo fainali Klabu Bingwa haikupaswa kupata matokeo mabovu namna hii.
Swali langu mbona liko wazi tu bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…