Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.
Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo
Kikosi cha Yanga kimefika Salama Tanzania mapema asubuhi ya leo, Desemba 15 kwa ajili ya maandalizi ya mechi zingine zilizombele yao