mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.
Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,
Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,
Hayati Karume hakusoma hata sekondari.
Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.
1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.
3.kusema kuwa Yanga haimlipi hata 100 ilikuwa a big mistake,hii italeta oicha kuwa yeye ndio mrija wa GSM kuinyonya Yanga,itaonyesha kuwa yuko pale kwa maslahi ya GSM na sio Yanga,kauli ambayo inayapa nguvu madai ya Mzee Magoma, professinal way ilikuwa yeye kuresign GSM kwa muda anaoitumikia Yanga ili kujenga trust kwa wanachama.
Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok
Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??
Soma Pia: Eng. Hersi Said: Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga
kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.
Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical
Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.
Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Yanga ingekuwa haishindi kibarua cha Hersi kingekuwa kigumu sana pale Jangwani