Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hersi aliingia form five ubungo islamic 2002,acha ubishiHersi hajasoma form 5 wala 6, tumesoma naye darasa moja engineering DIT, Ni mtu wa utani sana ila darasani ni very smart. Nakumbuka field ya second year wote tulikaguliwa na Dr. Benelith Mahenge ambaye baadaye alikuja kuwa kiongozi ktk nyazfa mbalimbali, Hersi Said ni Yanga lialia sana na shabiki la kutupwa la Liverkuku.
Alikuwa anacheza timu ya chuo namba 9 na mhamasishaji mzuri ktk michezo.
Kweli sio mtu wa kuongea jukwaani hilo nakubali, tulimaliza tarehe 15 July, 2005. Ni mtu wa karibu namfahamu.
Melo ni muongeaji ila hapendi kuongea on public, anajua sana kujenga hoja na kuelezea jambo kwa mtiririko.
All in all Haji anapenda spotlight, ni muongeaji mzuri ila at the end huaribu kwa kuchomeka yasiyohusu, na yeye na kitenge wana viherehere sana, in Magoma voice 😂😂
unajua kama kulishatokea sintofahamu hapa kati baada a Haji kutoka kifungoni? Haji alikuwa anajinasibu kuwa yeye ni msemaji wa Yanga na tena alipokuwa kifungoni na mshahara wake umepanda maradufu je haukuwahi kusikia hyo kauli? kama Hersi kakosea basi kidole iko kingeanza kwa Haji ambaye baada ya kumaliza adhabu yake angekuwa mtulivu na kuuacha uongozi utoe tamko rasmi,Haji wakati wote ktk bio yake ya instagram amejitambulisha kama msemaji wa taasisi,sasa kuweka ukweli na kuwafanya wote wajue au kukipambapamba na maneno mengi alafu mwisho wa siku msemaji Kamwe ingebadilisha nini? Hersi hakukosea tena kaongea wazi kila mtu atambue isije ikaleta mkanganyiko uko mbeleniAngeweza kusema kuwa ni mwenzao wako nae ila wanamtafutia post baada ya kutoka kifungoni TFF
Na DIT alisoma lini sasa?Hersi aliingia form five ubungo islamic 2002,acha ubishi
Kama dit alisoma 2005 maana yake ni baada ya kumalizia a level 2004Na DIT alisoma lini sasa?
Hersi ni Msomali? Wasonjo siku hizi mnawaita Wasomali?Ukweli ni kwamba huyu Msomali kama alivyo yule Msomali wa TFF wanamuogopa MANARA na wanajua akiingia atawafunika
Mbinu wanayotumia ni kutokumpa nafasi
vichaa hao.Hersi ni Msomali? Wasinjo siku hizi mnawaita Wasomali?
kaka Haji ananamba ya wazee wa nguvu za giza waliokuwa Simba? Yanga haijapoteza Haji akiwa Yanga? Yanga hakuwahi kumfunga Simba haji akiwa Simba? Kaka Yanga hii mganga anakula tu pesa ya bure timu iko imara sana ktk maeneo mengi ya msingi na wala sio sababu ya Haji na huyo Dalali unampa nyota zote kisa ni Simba day? hivi kweli Dalali wakumlinganisha na Hersi? kuna jambo hautaki kuliweka wazi lakini sidhani kama ni ile interview tu.YANGA BINGWA!Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1980s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.
Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,
Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,
Hayati Karume hakusoma hata sekondari.
Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.
1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.
Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok
Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??
kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.
Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical
Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.
Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Damu ni nzito kuliko maji Mkuu. Mtoa mada Haji Manara ni Class Mate wake.unajua kama kulishatokea sintofahamu hapa kati baada a Haji kutoka kifungoni? Haji alikuwa anajinasibu kuwa yeye ni msemaji wa Yanga na tena alipokuwa kifungoni na mshahara wake umepanda maradufu je haukuwahi kusikia hyo kauli? kama Hersi kakosea basi kidole iko kingeanza kwa Haji ambaye baada ya kumaliza adhabu yake angekuwa mtulivu na kuuacha uongozi utoe tamko rasmi,Haji wakati wote ktk bio yake ya instagram amejitambulisha kama msemaji wa taasisi,sasa kuweka ukweli na kuwafanya wote wajue au kukipambapamba na maneno mengi alafu mwisho wa siku msemaji Kamwe ingebadilisha nini? Hersi hakukosea tena kaongea wazi kila mtu atambue isije ikaleta mkanganyiko uko mbeleni
Bora umeliona hilo!Damu ni nzito kuliko maji Mkuu. Mtoa mada Haji Manara ni Class Mate wake.
Jamaa kasema 2005 ni kumaliza DIT sio kuanzaKama dit alisoma 2005 maana yake ni baada ya kumalizia a level 2004
Asingetamka kuwa Haji ji mwanachama dunia ingejua kuwa Haji ni staff wa Yanga ambaye anasubiri jupangiwa majukumu,ika kusema ni mwanachama tu,amemvunjia heshima,Itabidi nikipata muda nikaangalie hiyo interview maana nilivyoona tu anasema hapati hata shilingi 100 pale Yanga nikajua hii interview nzima haina maana.
Nadhani kuchomekea kwamba Manara ni mwanachama hai alikuwa ana nia ya kumlindia heshima ndani ya Yanga zaidi ya kumdhalilisha maana angeishia kusema tu wanamtafutia kazi nyingine ingemuacha Manara sehemu mbaya zaidi. Kwa walipokuwa wamefikia na maneno ya mitandaoni, ilikuwa muhimu kulitolea ufafanuzi usio na shaka.
Kwa yeye kusema ndiye msemaji mkuu alinikumbusha Rais Magufuli kusema anatamani kuwa na madaraka ya Waziri wa Mambo ya Ndani wakati tayari ni Rais.
Haaaa....huu ndo uswahili wenyewe sasa..yaani ulitaka afurahishe genge, apoteze muda wa watu na kutomaliza sintofahamu.Yule sio kiongozi wa kisiasa - Na pia ulitaka ajibu kulingana na unavyotamani wewe..kumbuka yale maswali sio 1+1=2 kwamba kila mtu ajibu sawa...Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
Haji alifaulu?Manara,Kitenge,Ben Kinyaiya,tulipishana madarasa,Mnazi Mmoja headtecher Chalila,mwaka wetu tulimaliza wanafunzi 400+ Haji hakuwa kilaza.
Wewe tu ulipoanza na kamati ya ufundi basi nimejuwa wewe mtu wa aina gani, unataka kutuaminisha waganga aliwaleta Hajji ndio wanaleta ushindi sasa kama hiyo ndio sababu kuu sasa ya nini kuajiri jopo na makocha, wachezaji wa gharama kubwa si wangekuwa wanasubiri mganga awape dawa wapange team wenyewe team itashinda tu. Hajji yeye ndio alitaka kuwadhalilisha wenzake, wewe hujakaribishwa rasmi na team unaenda kuita press "King is back" ni sawa na mtu hujaalikwa harusi umeshaenda kushona suti.Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.
Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,
Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,
Hayati Karume hakusoma hata sekondari.
Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.
1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.
3.kusema kuwa Yanga haimlipi hata 100 ilikuwa a big mistake,hii italeta oicha kuwa yeye ndio mrija wa GSM kuinyonya Yanga,itaonyesha kuwa yuko pale kwa naslahi ya GSM na sio Yanga,kauli ambayo inayapa nguvu madai ya Mzee Magoma,professinal way ilikuwa yeye kuresign GSM kwa muda anaoitumikia Yanga ili kujenga trust kwa wanachama
Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok
Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??
kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.
Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical
Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.
Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Yanga ingekuwa haishindi kibarua cha Hersi kingekuwa kigumu sana pale Jangwani
Kuna sehemu nimesema wagangaau kamati ya ufundiWewe tu ulipoanza na kamati ya ufundi basi nimejuwa wewe mtu wa aina gani, unataka kutuaminisha waganga aliwaleta Hajji ndio wanaleta ushindi sasa kama hiyo ndio sababu kuu sasa ya nini kuajiri jopo na makocha, wachezaji wa gharama kubwa si wangekuwa wanasubiri mganga awape dawa wapange team wenyewe team itashinda tu. Hajji yeye ndio alitaka kuwadhalilisha wenzake, wewe hujakaribishwa rasmi na team unaenda kuita press "King is back" ni sawa na mtu hujaalikwa harusi umeshaenda kushona suti.