Hersi Said usirudie kufanya exclusive interview, haupo smart

maelezo kuhusu manara mbona yamenyooka mkuu,,injinia kasema kwamba Kwa sasa Haji ni mwanachama wa kawaida tunamtafutia nafasi itakayo mfaa. kwa maana kwamba kwasasa hana cheo chochote so ni mwanachama wa kawaida tu!
Alitakiwa ajibu ki GT. Unaweka na kakingereza kidogo "You know Manara this that well" halafu unakunywa maji kidogo kisha unasmile unasema next question please?

Ukweli ni kwamba alijibu sahihi kabisa, Haji ni mwanachama wa kawaida tu.
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.

Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer. Ni mtendaji zaidi.

Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
 
1.kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida??hii ni statement ya layman katika uongozi,simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba,anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani

Hii paragraph imeonesha wewe Ni mtu wa Aina gani.

Kwa mentality hii sidhani kama unaweza kuwa na mawazo sawa na watu wengi wa kariba ya Hersi. Lazima mmepishana mitazamo kwa mbali sana
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.
Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer.Ni mtendaji zaidi.
Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
Na mimi namtazama kwa mtazamo huo mchapakazi ila sio mzungumzaji mzuri
 
Kwahiyo kuhusu swala la Manara,alitakiwa ajibu aje?
Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
 
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana,na ndio muanzilishi wa Simba Day ,Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka

Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1980s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz,humble guy with sense of humour.

Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana,kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba,mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,

Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,

Hayati Karume hakusoma hata sekondari.

Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.

1.kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida??hii ni statement ya layman katika uongozi,simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba,anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani

2.Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba,akaanza kumshambulia juwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic.that was irrellevant and lack of wisdom.

Maboko ni mengi sana,You are not a good public speaker,kwingineko uko Ok

Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??

kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.

Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza,la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri,kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical

Vyuoni huwa kuna tutorial/seminar/presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.

Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba,kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
hata wee mleta Uzi upstair naona hamna kitu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
maelezo kuhusu manara mbona yamenyooka mkuu,,injinia kasema kwamba Kwa sasa Haji ni mwanachama wa kawaida tunamtafutia nafasi itakayo mfaa. kwa maana kwamba kwasasa hana cheo chochote so ni mwanachama wa kawaida tu!
Angeweza kusema kuwa ni mwenzao wako nae ila wanamtafutia post baada ya kutoka kifungoni TFF
 
Alitakiwa apige siasa pale azunguke zunguke pale,sio kila swali linataka jibu sahihi,alijywa ba uwezi wa kukijibu bila kuleta sintofahamu,mimi na wewe hatukujua kuwa manara ni mwanachama wa kawaida,hiyo ingebaki siri ya ofisi tu
Kwani hukuona kwenye mitandao watu wanauliza kati ya Manara na Ali Kamwe nani ni boss? Ilipelekea mpaka Ali Kamwe akajiuzuru,na watu hawakujua sababu ya kujiuzuru kwake,ilikua ni lazima awe na jibu la moja kwa moja,

Who is Manara mpaka Rais wa Club aogope kujibu hilo swali direct? Kwanza hata hiyo kusema kua Manara watamtafutia position nyingine,ilikua still ni heshima kubwa kwa Haji.
 
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka

Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1980s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.

Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,

Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,

Hayati Karume hakusoma hata sekondari.

Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.

Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.

1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.

Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani

2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.

Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok

Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??

kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.

Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical

Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.

Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika

Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Umejitahidi kuwekeza kwenye majungu
 
Namfahamu Engineer Said Hersi alikuwa ni shabiki lialia wa Simba alipokuwa akisoma.Amemuoa binti wa Dr.Guled wa Arusha.

Sio mzungumzaji mzuri lakini ni a doer. Ni mtendaji zaidi.

Hana majivuno ila maswali yalimtoa relini akapanic.
Hersi hakuwahi kuwa simba,nilisoma nae a level,alikua five mie six
 
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka

Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1980s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.

Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,

Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,

Hayati Karume hakusoma hata sekondari.

Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.

Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.

1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.

Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani

2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.

Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok

Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??

kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.

Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical

Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.

Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika

Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Fact.....
 
Hersi hakuwahi kuwa simba,nilisoma nae a level,alikua five mie six
Hersi hajasoma form 5 wala 6, tumesoma naye darasa moja engineering DIT, Ni mtu wa utani sana ila darasani ni very smart. Nakumbuka field ya second year wote tulikaguliwa na Dr. Benelith Mahenge ambaye baadaye alikuja kuwa kiongozi ktk nyazfa mbalimbali, Hersi Said ni Yanga lialia sana na shabiki la kutupwa la Liverkuku.

Alikuwa anacheza timu ya chuo namba 9 na mhamasishaji mzuri ktk michezo.

Kweli sio mtu wa kuongea jukwaani hilo nakubali, tulimaliza tarehe 15 July, 2005. Ni mtu wa karibu namfahamu.

Melo ni muongeaji ila hapendi kuongea on public, anajua sana kujenga hoja na kuelezea jambo kwa mtiririko.

All in all Haji anapenda spotlight, ni muongeaji mzuri ila at the end huaribu kwa kuchomeka yasiyohusu, na yeye na kitenge wana viherehere sana, in Magoma voice 😂😂
 
Back
Top Bottom