"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?Kuna sehemu nimesema wagangaau kamati ya ufundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?Kuna sehemu nimesema wagangaau kamati ya ufundi
Hapo hakuna Bora, Bora ni kuwa na akili na pesa japo Kwa uchacheKipi Bora kuwa na akili usiwe na hela,
Au uwe na hela huna akili
Hapo usichoelewa ni nini.?"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?
Mbinu zote za ushindi nje ya uwanja,kama na hiyo inadondokea humo sawa"Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani" Nukuu yako una maanisha nini hapa?
Kichwa cha habari na content haviko sawa. Sijaona tatizo. Kuhusu kulipwa, mihemko yako ndiyo inakufanya usikumbuke swali. Aliulizwa Yanga unalipwa mshahara kiasi gani? Akajibu silipwi hata sh 100. Wewe unataka kuimanisha kupata hela badala ya suala la msingi ambalo ni mshahara. Wakati mwingine acha mihemko kwa timu pinzani, huo si utani ila ni ukilaza.Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.
Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,
Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,
Hayati Karume hakusoma hata sekondari.
Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.
1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.
3.kusema kuwa Yanga haimlipi hata 100 ilikuwa a big mistake,hii italeta oicha kuwa yeye ndio mrija wa GSM kuinyonya Yanga,itaonyesha kuwa yuko pale kwa naslahi ya GSM na sio Yanga,kauli ambayo inayapa nguvu madai ya Mzee Magoma,professinal way ilikuwa yeye kuresign GSM kwa muda anaoitumikia Yanga ili kujenga trust kwa wanachama
Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok
Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??
kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.
Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical
Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.
Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Yanga ingekuwa haishindi kibarua cha Hersi kingekuwa kigumu sana pale Jangwani
Hakuna mtoto hapa asiejuwa kazi ya kamati ya ufundi.Mbinu zote za ushindi nje ya uwanja,kama na hiyo inadondokea humo sawa
Sio kila swali lina jibu,kwani huyo oscar au kitenge wangeulizwa wanalipwa kiasi gani wangetaja kiasi?kuna mazingira fulani mshahara ni siri kati ya employer na employee,Kichwa cha habari na content haviko sawa. Sijaona tatizo. Kuhusu kulipwa, mihemko yako ndiyo inakufanya usikumbuke swali. Aliulizwa Yanga unalipwa mshahara kiasi gani? Akajibu silipwi hata sh 100. Wewe unataka kuimanisha kupata hela badala ya suala la msingi ambalo ni mshahara. Wakati mwingine acha mihemko kwa timu pinzani, huo si utani ila ni ukilaza.
Fafanua hapa ameiba faili la ushindi wa Simba kivipi mkuu?. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Hapa unamaanisha Yanga inashinda Kutokana na Haji kuwa na namba za wazee wa kamati za ufundi? Nifafanulie kabla sijafafanua kuwa hizi kamati ni kamati za kuloga ili ushindi upatikane.Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
Mkuu wa idara ya habari ni Ally Kamwe ulitaka atambuliwe kwa cheo gani pale jangwani tofauti ya mwanachama ambaye anakadi kama nilivyokuwa nayo Mimi?Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haiwezi kuwa kweliJamaa kasema 2005 ni kumaliza DIT sio kuanza
Nilisikiliza vizuri,jamaa yuki vizuri labda uwe na chuki binafsiDid You watch the interview?egoism at large
Zaidi ya mwaka niliwahi kusema humu ndani Manara hatapewa nafasi tena katika mpira wetu hata kifungo chake kikiisha.Asingetamka kuwa Haji ji mwanachama dunia ingejua kuwa Haji ni staff wa Yanga ambaye anasubiri jupangiwa majukumu,ika kusema ni mwanachama tu,amemvunjia heshima,
Hata kauli yake kuwaYanga haimlipi hata 100 imefanya kauli ya Mzee Magoma iwe na mashiko,kuwa yeye ni pandikizi la GSM,kiproffessional alitakiwa kujiuzulu GSM nakuwa neutral il kuepuka conflict of interest
Umedadavua vemaZaidi ya mwaka niliwahi kusema humu ndani Manara hatapewa nafasi tena katika mpira wetu hata kifungo chake kikiisha.
Sintofahamu ilikuwa kubwa sana, nadhani Hersi alilazimika kuiaddress directly bila kumung'unya maneno ili asilazimike tena kuliongelea hilo suala. Inawezekana ile interview ilikuwa zaidi kutoa ufafanuzi huo ila masuala mengine ilikuwa kujazia tu ili isionekane ni suala linalowaumiza sana kichwa.
Hata Manara siyo mjinga, na yeye alama za nyakati alishazisoma, ile press na kampeni yake ya Return of the King ilikuwa kama kupush back maana anajua na Yanga wakimtenga ndiyo basi tena atabaki tu na twiga wake.
Nijuavyo haji alisoma primary mnazi moja baadae kibaha sec then mzumbe high.,baada ya hapo ungaunga mwanaHaji alifaulu?
Tafuta interview zake kaka. He's good upstairs.Soma vizuri uzi nimeedit,Melo sijawahi kusikia sauti yake popote ila kazi yake tunaiona,yupo vizuri kwenye uchapa kazi ila huenda na ndivyo ilivyo bila shaka sio mzungumzaji
Apewe pongezi,tuliomaliza mnazi mmoja miaka ile ya early90,Ni wachache sana tuliofika ngazi ya vyuo,uhuni uhuni wa kariakoo haukutuacha salama,unga,bangi,nkNijuavyo haji alisoma primary mnazi moja baadae kibaha sec then mzumbe high.,baada ya hapo ungaunga mwana
Nilidhani uzi umeletwa na matured comrade mwenye upeo wa juu wa kutafakari na kuchanganua mambo, kumbe alas...ni hata mwenye D moja hawezi kuwa na ufinyo wa mtazamo na uchanganuzi kama huu.Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza kumfahamu Dalali miaka ya 1990s akipiga gitaa bendi ya Vijana Jazz, humble guy with sense of humour.
Kuna watu wanadhani ukiwa na hela basi we una akili sana, kuna matajiri wengi tu nawafahamu hawakumaliza hata darasa la saba, mmoja anamiliki timu iliyotolewa juzi kimataifa,
Kwa hiyo unaweza kuwa tajiri au kiongozi bila kuwa na elimu kubwa,
Hayati Karume hakusoma hata sekondari.
Kabla ya exclusive intetview ya wiki iliyopita na Wasafi Media,nilidhani Hersi Said yuko smart upstairs ila nikagundua ni wa kawaida sana.
Jinsi alivyokuwa akijibu maswali inatafakarisha.
1. Kusema Haji Manara ni mwanachama wa kawaida? Hii ni statement ya layman katika uongozi, simkubali sana Haji Manara japo ni classmate wangu Mnazi Mmoja Primary ila haikuwa sahihi kumdhalikisha mtu aliyeiba faili la ushindi wa Simba.
Haji ana namba za wazee wa kamati ya ufundi ya nje ya uwanja iliyokuwa ikitumiwa na Simba, anefanikiwa kuhihamishia Yanga na ndio inayoleta makombe Jangwani
2. Aliulizwa swali na Oscar Oscar kuwa yeye kipindi anakua alikuwa shabiki wa Simba, akaanza kumshambulia kuwa kipindi hicho Oscar Oscar alijywa kwao Kaliua hayo mambo kayajuaje na aliongea kwa kupanic, that was irrellevant and lack of wisdom.
3.kusema kuwa Yanga haimlipi hata 100 ilikuwa a big mistake,hii italeta oicha kuwa yeye ndio mrija wa GSM kuinyonya Yanga,itaonyesha kuwa yuko pale kwa naslahi ya GSM na sio Yanga,kauli ambayo inayapa nguvu madai ya Mzee Magoma,professinal way ilikuwa yeye kuresign GSM kwa muda anaoitumikia Yanga ili kujenga trust kwa wanachama
Maboko ni mengi sana, you are not a good public speaker, kwingineko uko Ok
Kiufupi the way alivyokuwa akijibu nikashawishika kutaka kujua kasoma chuo gani??
kasoma DIT chuo ambacho kasoma mtu mmoja tu Tanzania hii anbaye ni good public speaker,Mark Mwandosya.
Sina maana kuwa Hersi Said ni kilaza, la hasha bali sio mzungumzaji mzuri yeye ni technocrat na strategist mzuri, kutokana na nature ya chuo alichosoma kila less theories but more practical
Vyuoni huwa kuna tutorial/ seminar/ presentation hizi huwa zinajenga sana wasomi uwezo wa kujibu hoja nzito bila kutoka kwenye reli.
Kuongoza vilabu vya mpira nchini,au kuwa na hela haimaanishi umeelimika
Kama ni Yanga ifunge Simba, kama ni Simba ifunge Yanga umemaliza
Yanga ingekuwa haishindi kibarua cha Hersi kingekuwa kigumu sana pale Jangwani
Mimi binafsi naona Hersi ajikite kwenye utendaji,hukujuongea anaoelea sana,nikama Eddo kumwembe,nimzurijuabdika ikakuongea ni zero.introvent haoNilidhani uzi umeletwa na matured comrade mwenye upeo wa juu wa kutafakari na kuchanganua mambo, kumbe alas...ni hata mwenye D moja hawezi kuwa na ufinyo wa mtazamo na uchanganuzi kama huu.
Anachojaribu kukifanya ni kujaribu kufitinisha viongozi wa Yanga wakati huu ambao hata chongo anashuhudia mafanikio yanayoletwa na safu ya uongozi wa sasa.
Eng. ni smart katika kutambua maswali ya mtego na amekuwa elequent katika kuyajibu ipasavyo kwa kiswahili hata king'eng'e, kiasi cha kuwaridhisha wanaomuuliza maswali, sasa kama kapuku wewe unakwazika na majibu yake kwa vile hayakidhi matamanio yako , waungwana tunasema 'kalagabaho'.
Msimu wa maumivu mengine ndio kwanza umeanza.
Sasa ulitaka useme Manara ndo mwenyekiti wa kamati za wachawi?Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka