Hersi Said wa Yanga akutana na IShowSpeed uso kwa uso

Hersi Said wa Yanga akutana na IShowSpeed uso kwa uso

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na viongozi mbalimbali.

Mmoja ya watu waliokutana na IShowSpeed ni Rais wa Yanga Engineer Hersi Said. Ambaye aliishia tu kupiga selfish na kumuuliza IShowSpeed "When are you coming to Tanzania?" ikiwa na maana ya lini utakuja Tanzania. IShowSpeed speed akiwa na mshangao uliobujikwa na haraka alijibu "Hivi karibuni"


View: https://youtu.be/KGf7onAXpBg?si=7udiGy2pHSuQVYKW
 
Faida ya huyu JAMAA ni Nini?Au ni kuvuna viewers ili yeye aendelee kuvuna pesa Kwa manufaa yake binafsi?kila mtu anampapalikia Kwa Nini?
 
Faida ya huyu JAMAA ni Nini?Au ni kuvuna viewers ili yeye aendelee kuvuna pesa Kwa manufaa yake binafsi?kila mtu anampapalikia Kwa Nini?
Ni influencer ana inspire content creators wengi.... uwezi kumuelewa kama ujui nguvu ya mitandao na soko la biashara kupitia mitandao.
 
Back
Top Bottom