North africans wabaguzi sana, kisa wana ngozi nyeupe tu.Yeah... Waalgeria wakorofi sana hasa ukiwakuta kwenye mpira
Yeah kwasasa najua kwamba kuna mtu anaitwa ishowspeed na amepata pesa nyingi sana kupitia streaming.Yeah... now you know
Kwa Bongo ili utrend inabidi ujitoe ufahamu ambapo siwezi.Pia nawe unaweza kufanya streaming ukipiga story na wadau
Najiandaa mkuu.Wewe labda uendelee kuwa Secretary
Anatangaza utaliiFaida ya huyu JAMAA ni Nini?Au ni kuvuna viewers ili yeye aendelee kuvuna pesa Kwa manufaa yake binafsi?kila mtu anampapalikia Kwa Nini?
Ni influencer ana inspire content creators wengi.... uwezi kumuelewa kama ujui nguvu ya mitandao na soko la biashara kupitia mitandao.Faida ya huyu JAMAA ni Nini?Au ni kuvuna viewers ili yeye aendelee kuvuna pesa Kwa manufaa yake binafsi?kila mtu anampapalikia Kwa Nini?