Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Walipotokea mama zao na baba zao, wajinga kweli kweliVinataka kuona walipotoka😀😀😀
Walipotokea mama zao na baba zao, wajinga kweli kweliVinataka kuona walipotoka😀😀😀
Itakuwa kasoma hapo, mitaa ya Meta,New Forest na Mabatini hilo chata liliandikwa sana kwenye kuta.Umeona ehh. Hivi ulisoma Meta wewe ndugu?
JKuna herufi yangu ipo pale mwisho inasema ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo😀😀😀😀😀
lakini ni VHapana
Ndio nimesoma Meta. Nyakati za kina Mageta mwalimu Landi, Kimondo nkUmeona ehh. Hivi ulisoma Meta wewe ndugu?
Xavery lwaitama na Xivena jeromeHadi kwenye jina la mdogo wangu umenidanganya pia naomba mfano wa jina lililo anza na herufi x hapa bongo ukiachana na akina xabi alonso,xavi hernandez
Mimi ndio nilimkanda Kabuje makofiNdio nimesoma Meta. Nyakati za kina Mageta mwalimu Landi, Kimondo nk
vp na ww umesoma pale?
Ww ulimpiga kabuje.......Mimi ndio nilimkanda Kabuje makofi