Herufi ya kwanza ya jina lako imebeba tabia yako

P hapo kwny kuamrisha, hekma kweli ni mimi ila hapo kwny kujiingza kwny mambo ya watu ksha kusutwa hpn maana mimi si muongeaji kbs mpk mtu nimkubali na nimzoee nje ya hapo hakuna wa kunipata yan mi ndo naamua uwe rafk yng au hpn, uwe na utani na mimi au hpn, unizoee au hpn hata uwe vp huwez ukaniingia. Ni mpenda amani, mwenye huruma hasa kwa wny shda, NGUVU ZA KIROHO ni kweli kbs.
 
Mimi umenipata.Niliweka herufi ya jina lakizungu nililopewa ukubwani ikakataa nilijirudisha kijijini nikajiona mimi kabisa.Hongera.
 
Straight kwenye “S” jina la wife,labda ndiyo sababu kila ninachokigusa kinakuwa pesa?

I dunt know ngoja tuendelee kuiacha kama ilivyo.
 
Hadi kwenye jina la mdogo wangu umenidanganya pia naomba mfano wa jina lililo anza na herufi x hapa bongo ukiachana na akina xabi alonso,xavi hernandez
Xavery lwaitama na Xivena jerome
 
Akili za kimaskini hizi
Yaani jina ambalo unakuta hata mzazi hakufikiria mara mbili ndio liamue wewe unakuwaje maishani?
 
Hamna uhusiano wowote wa jina na uhalisia wako msidanganyane
 
Mimi ndio nilimkanda Kabuje makofi
Ww ulimpiga kabuje.......
Waalimu wawili nakumbuka waliwahi kupigwa pale shule Kabuje na Mwaigwisya. Kama ww ulimpiga Kabuje najaribu kuvuta picha lile tukio nalikumbuka

By the way habari za siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…