Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako


Na kama hakuna connection = uongo!

Nimavyoelewa mimi chochote kisicho na sababu ni uongo either kinaweza kutokea by chance! Na chance haiwezi kutokea kwa wote. Maana nyota za kweli nizile tu zinazozingatia tarehe ya kuzaliwa. maana zile connection zake ziko wazi. if huamini nipe tarehe yako ya kuzaliwa na saa uliyo zaliwa nitakuekea tabia zako, udhaifu wako na ubora wako pamoja na sababu kwanini uko hivyo.

UPDATE........

wakuu kutokana na pm ninazopokea kutokana na nilichokisema hapo, nimeona bora nirahisishe kwa kuwaekea link hapa ili kila alievutiwa aweze kuingia na kuweka details zake ambazo itakua ni siri kwake.

Na humo ndio utagundua herufi ya jina au jina kamili halina athari yoyote maana ukiingi humo unaweza kueka jina lolote bila kuathiri chochote, na inashauriwa usiandike real name kwa kuepusha mtu atakae gugo jina lako asiweze kuona hiyo document.

VINAVYOHITAJIKA:


jinsia.

tarehe ya kuzaliwa.

saa na dakika uliozaliwa eg; 07:00, 07:15, 07:30 or 07:45. ubainishe ni am or pm vile vile unaweza kutumia masaa 24 eg 13:00.
kama hujui ulizaliwa saa ngapi utaweka 'time unknown'

mkoa na nchi uliozaliwa. (ukiweka tu mkoa nchi itjiweka wenyewe na ka kuna nchi zaidi ya moja yenye mkoa huo basi utaona options.
...
OK twende kazzz...

http://astro.cafeastrology.com/cgi-bin/astro/natal
 

Naku-PM Mkuu..ikiwa kweli ntakwambia na ikiwa kinyume chake pia ntakwambia
 

Ndg mtabiri.. nyota yao ni ipi?
 
Yote umepatia ila ilo la utapeli na kutokuwa na msimamo hapana.

Haiwezekani apatie yote eti ila la utapeli sio!!!
kama amepatia maana yake yote yako hivo labda wewe mwenyewe ndo hujui kama ni tapeli lakini wahanga wako wangekuwa wanasoma hapa wangekubaini!!
 
Haiwezekani apatie yote eti ila la utapeli sio!!!
kama amepatia maana yake yote yako hivo labda wewe mwenyewe ndo hujui kama ni tapeli lakini wahanga wako wangekuwa wanasoma hapa wangekubaini!!

Mkuu mbona povu linakumwagika????? Nimaoni yangu kutokana na uzoefu wangu hata hivyo jina langu halianzi na herufi a acha kuparamia.
 
Agnes masogange, Anna mkapa, Augustine lyatonga mrema, Ally Kessy, Ally Shamhuna, Anna Abdala, Ally Kiba. and the list goes on..... je wote hao ni matapeli!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…