Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Mleta uzi aonesha hana kazi ya kufanya, haya yote aliyoandika ni upu.uzi mtupu, hayana ushahidi wa kisayansi au wa kiroho. Hivi watu wengine kufaham tu kutumia computa ni shiida, hawana cha kufikiria zaidi ya haya.. Nchi yangu Tanzania nakulilia sanaaa..
 
Nakubaliana na wewe kwenye M ni kweli npo ivo
 
A- mcheshi
B- mtembezi
C- mkosaji
D- msema kweli
E- mgomvi
F- mgombanishi
G- mcha mungu
H- mchapa kazi
I- mgumu kuelewa
J- anapenda ngono
K- m'bishi
L- anapenda kujua mambo
M- hodari
N- kicheche
O- mtulivu
P- mjanja
Q- mvivu
R- mzuri na mtundu chumbani
S- msaliti
T- anajua kunyenyekea
U- msafi
V- anapenda starehe
W- ana wivu
X- anapenda mapenzi
Z- mtanashati
haya niambie wewe uko herufi gani!!!

Ukibisha we jeuriii...au andamana
duh! Kumbe tabia ni nyingi kiasi hiki! Sikujua.
 
A- mcheshi
B- mtembezi
C- mkosaji
D- msema kweli
E- mgomvi
F- mgombanishi
G- mcha mungu
H- mchapa kazi
I- mgumu kuelewa
J- anapenda ngono
K- m'bishi
L- anapenda kujua mambo
M- hodari
N- kicheche
O- mtulivu
P- mjanja
Q- mvivu
R- mzuri na mtundu chumbani
S- msaliti
T- anajua kunyenyekea
U- msafi
V- anapenda starehe
W- ana wivu
X- anapenda mapenzi
Z- mtanashati
haya niambie wewe uko herufi gani!!!

Ukibisha we jeuriii...au andamana

Ndio maana hata umeshindwa kuweka jina lililo kuu kuliko majina yote...... YESU
Unaona alivyo na nguvu? si hao wengine!
 
Huwa siamini katika Ushirikina wala Nyota.
J- anapenda ngono=Jakaya
K- m'bishi=Kikwete

J" anapenda ngono (Julius ) N" kicheche (Nyerere) alikufa kwa mkanda Wa Jeshi. Hahahhaah

Acha Ushirikina.
Inamaana Jesus na Jacob walikuwa wapenda ngono?
Hii ni laana kwako,shauri yako,si ku google kila kitu na kuiga,wenzio hawana dini hao wanakupoteza

Nina amini ikiwa Polisi HQ FORENSIC AND CYBER CRIME huwa wanasoma JF wakiiona threads hizi utakamatwa. Msijidanganye kuwa ID mnazotumia haziwezi kujulikana majina yenu halisi.

NIKUTAHADHARISHE KAMA IFUATAVYO:-
Ikiwa unatumia simu kuwatusi watu hususani Marais Julius K. Nyerere, Jakaya Mrisho Kikwete mbaya zaidi unamhusisha Yesu Kristo kwenye upuuzi huu, anyway kwa upande wa Yesu Kristo naomba akuadhibu yeye mwenyewe. Ila mliotusi marais hizo simu zenu zina kitu kinaitwa IMEI NUMBER hii ni namba pekee hakuna namba kama hiyo kwa simu yoyote duniani isipokuwa hiyo yako. Ni kama chassis number kamwe hazifanani. Ukituma huo upuuzi kuja hapa JF ujumbe huo unaenda kwenye NETWORK TOWER (mnara wa simu) ujumbe huo unaenda kwenye mnara ukiwa na IMEI NUMBER YA SIMU UNAYOTUMIA, UNAENDA NA LINE NUMBER UNAYOTUMIA YAANI 07......, UNAONYESHA UNATOKA ENEO GANI MFANO TABATA UBUNGO NK.

POLISI KWA KUTUMIA IMEI YA SIMU YAKO NA LINE NUMBER WANAUWEZO KWA KUTUMIA VIFAA MAALUM KUFIKA HADI CHUMBANI KWAKO VIFAA HIVYO HUTOA SIGNAL KUONYESHA SIMU YAKO ILIPO.

KWA HIYO NAKUSIHI OMBA RADHI NA UFUTE THREAD ZAKO WATAKUELEWA VINGINEVYO SUBIRI UONE UKWELI WA NILIYOKWAMBIA.

TUMSIFU YESU KRISTO.
 
katika watu waliowahi kuchemka yani we umechemka hadi umeiva
 
Mkuu, usimtishe sana, polisi wako bize na CHADEMA.
 
Kwa Tanzania bado hawana polisi wenye uwezo huo na.mda huo labda tusubir 2050 Tanzaniano maybe tutaweza kufika hukoo
 
Back
Top Bottom