Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Freeman - Mgombanishi
Slaa - Msaliti
Wilbrod - Anawivu
Sugu - Msaliti
Zitto - Mtanashati
Ibrahim - Mgumu Kuelewa
Seif -Msaliti
Juma - Anapenda Ngono
Jusa - Anapenda Ngono
Mwigulu - Hodari

Ndio maana kumbe wamegomea katiba
Polisi msinitafute ni burudani tu,mkamateni alieleta uzi
 
Freeman - Mgombanishi
Slaa - Msaliti
Wilbrod - Anawivu
Sugu - Msaliti
Zitto - Mtanashati
Ibrahim - Mgumu Kuelewa
Seif -Msaliti
Juma - Anapenda Ngono
Jusa - Anapenda Ngono
Mwigulu - Hodari

Ndio maana kumbe wamegomea katiba
Polisi msinitafute ni burudani tu,mkamateni alieleta uzi

Nimeipnda hii Ongeza na (m-Mrisho )
 
mimi nina kataa na kubisha kabisa,jina langu linaanza na E na sio mgomvi na ni mpole kupita maelelo na hii si kwa mujibu wangu bali kwa kila jamii inayonizunguka.
 
Mkuu Skype hebu njoo uchungulie hapa,Naona mstahikimeya anakuteta hapa,
mi nasubiri numerical
 
Last edited by a moderator:
Freeman-Mgombanishi.

Wilbroad-ana wivu

Zitto-Mtanashati

Hahahaha. kama kuna kana ukweli kwa mbaaaali.
 
Mbona kinyume nyume?

B... napenda kukaa ndani mara nyingi nikiwa sina cha kufanya, browsing sana na kuangalia Manchester United anavyopigwa na kila timu!



Utabiri wako hauko fair kabisa!
 
M-hodari
hapana hata mimi siungi mkono kwan hao m niwajuao ni shidaaaaaaaaaaa!
 
A- mcheshi
B- mtembezi
C- mkosaji
D- msema kweli
E- mgomvi
F- mgombanishi
G- mcha mungu
H- mchapa kazi
I- mgumu kuelewa
J- anapenda ngono
K- m'bishi
L- anapenda kujua mambo
M- hodari
N- kicheche
O- mtulivu
P- mjanja
Q- mvivu
R- mzuri na mtundu chumbani
S- msaliti
T- anajua kunyenyekea
U- msafi
V- anapenda starehe
W- ana wivu
X- anapenda mapenzi
Z- mtanashati
haya niambie wewe uko herufi gani!!!


Ukibisha we jeuriii...au andamana

Hiyo s uongo mtupu siamini
 
Back
Top Bottom