Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizi kitu naona huwa hazina connection yoyote maana hao wanaojiita wataalam hawana uwezo Wa kutaja tabia moja kuu ya watu Wa kundi LA herufi Fulani...huwa wanaishia kutaja lundo la tabia ambalo wanauhakika kila mtu lazima kuna tabia itamgusa....all in all havina ukweli wowote.
Na kama hakuna connection = uongo!
Nimavyoelewa mimi chochote kisicho na sababu ni uongo either kinaweza kutokea by chance! Na chance haiwezi kutokea kwa wote. Maana nyota za kweli nizile tu zinazozingatia tarehe ya kuzaliwa. maana zile connection zake ziko wazi. if huamini nipe tarehe yako ya kuzaliwa na saa uliyo zaliwa nitakuekea tabia zako, udhaifu wako na ubora wako pamoja na sababu kwanini uko hivyo.
Naku-PM Mkuu..ikiwa kweli ntakwambia na ikiwa kinyume chake pia ntakwambia
Ok just do it na naamini utaweka ushuhuda hapa.
Ahahahaa,bcoz lako limeanza na "A" but bandiko linasema wanaoanza na "a" kwi! kwi!Agogwe?? kwangu huo utabiri umekwenda kushoto
Tabia zao ni hizi hapa....
Wengi ni wapole na wanaaminika na jamii, wanaongea kwa ustarabu sana, wanamipango mingi mno ambayo mingine haitekelezeki, wengine wana asili ya utapeli maana wakiaminiwa huwa hawaaminiki. Hawana msimamo kila atakalo shauriwa ni rahisi kulifuata na akaacha alilolipanga.
Kama huamini suala la utapeli au ujanja ujanja nahakika katika thread hii hapata kosekana angalau watu watatu ambao wameingizwa mjini na watu hawa, tabia nyingine ni watu wa matumizi sana ya fedha kuwa na milioni mchana afu jioni akawa hana kitu ni jambo la kawaida... lakini sifa ingine kwao ni majasiri na wanajiamini kupita kiasi, hawaogopi vitu kirahisi.
Pia pamoja na ujanja ujanja wao na utapeli wa hapa na pale watu hawa wanahuruma sana ya kusaidia wenzao bila kujali yeye anaathirika vipi, kundi hili la herufi A, linafanana kidogo na herufi "M" kwa kuwa wana share nyota moja.
Aisee kwa upande wangu yote yaliyoelezewa ndio nilivyo haha. Kumbe muda mwingine Hawa astrologists wako vizuri.Ok just do it na naamini utaweka ushuhuda hapa.
Yote umepatia ila ilo la utapeli na kutokuwa na msimamo hapana.
Haiwezekani apatie yote eti ila la utapeli sio!!!
kama amepatia maana yake yote yako hivo labda wewe mwenyewe ndo hujui kama ni tapeli lakini wahanga wako wangekuwa wanasoma hapa wangekubaini!!