Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Kuna watu wanazaidi ya jina moja hebu tupe mchanganuo hapo🙂
 
Hizi Ni Tabia Za Hasili, Zisizobadilishwa Kwa Kubadil Jina.
Hapo bado hujanishawishi,Kumbuka kuna utabiri wa nyota kwa kutumia mwezi wa kuzaliwa wa mtu,sasa kama mtu kazaliwa mwezi fulani ambao una nyota tofauti na nyota ya herufi ya kwanza ya jina lake, hapo mtu atatumia nyota ipi????
 
Source; Muungwana.
 
nyota ya mashuke Ina maana gani na Ina faida gani na Ina hasara gani naomba ufafanuzi tafadhali
 
Ndio maana mzee Edward Lowasa atapita uraisi asante kwa kutufumbua macho
 
ujinga mtupu,wanadam wamekuwa wakengeukaji sana,heruf nayo imekuwa ni sehem ya mwenendo wa mwanadam,shetan amekwambia utoe mafundisho yaliyopotoka jamii forum,
 
ujinga mtupu,wanadam wamekuwa wakengeukaji sana,heruf nayo imekuwa ni sehem ya mwenendo wa mwanadam,shetan amekwambia utoe mafundisho yaliyopotoka jamii forum,

Umesoma Source Au Unataka Ligi?? Anyway, Mafundisho Humu Kuna Mtto Au Nimeshika Bunduki Myafate??
 
>HERUFI L (Lowassa)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo,
mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa
wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota
ya Samaki,
>HERUFI M (Magufuli)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye
kujiamini-sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu
mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi
M inawakilisha Nyota ya Punda
 
Toa ushahidi unaoonekana. Otherwise ni uongo


 
Ushindwe!!!!! Maisha ni juhudi za mtu pamoja na kumwomba Muumba wake......! Sio dili za wapiga bao, kama ingekuwa hivyo wazaramo wangeendelea kuliko Wachaga!


Tena ukome na mwisho leo kutaja makabila ya watu wazaramo tumekukosea nini.

Njoo huku kwetu nikuoneshe wachagga walivyo walevi mbwa mpaka wanajikolea, eti matajiri.

Ukome kama ulivyokoma ziwa la mamako kama unataka mengine karibu sana tena sana tu.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…