Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Hii imeanza vizuri ila tatizo lipo kwenye umaliziaji tu
 
Aaagh!Eti wanaoanzia na L wanapata ajali mara kwa mara sikubaliani na hilo.
 
Mkuu Invisible MUNGU akuzidishie moyo huo kiongozi safi sana.


HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu.


Ila mkuu upunguze hasira japo kiduchu kiongozi.

Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.


ALL THE BEST MKUU.

:bange:
 
Last edited by a moderator:
hahahahhaha asante Sana'a nashukuru..
umenena kweli kwangu na umenena vyema.P
 
Nina majina matatu , la nyumbani, la shuleni/kazini, la kijijini,

so nishike maana ya herufi ipi ?!

urongo siamini, ni kama vile unakwenda kwa mganga.

hahahahaha mm mwenyewe nnalo mpaka la kutongozea madem
 
Tunavyopenda kuambiwa vitu vizuri wana wa Adam?!
 
Back
Top Bottom