Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Tena ukome na mwisho leo kutaja makabila ya watu wazaramo tumekukosea nini.

Njoo huku kwetu nikuoneshe wachagga walivyo walevi mbwa mpaka wanajikolea, eti matajiri.

Ukome kama ulivyokoma ziwa la mamako kama unataka mengine karibu sana tena sana tu.

Calm down bwana,hawa watu ukiwachukulia serious utakufa kwa ugonjwa wa moyo.
 
Tena ukome na mwisho leo kutaja makabila ya watu wazaramo tumekukosea nini.

Njoo huku kwetu nikuoneshe wachagga walivyo walevi mbwa mpaka wanajikolea, eti matajiri.

Ukome kama ulivyokoma ziwa la mamako kama unataka mengine karibu sana tena sana tu.

Heheheee...kioo kweli wewe Mzaramo!! sorry... lkn hakuna mahali nilipoongelea utajiri...nimesema maendeleo!
 
Vipi hizi takwimu ni kwa hisani ya twaweza ,redet au ??
 
Majina yapi...yakubatizwa nayo, au uliyopewa na mama na baba yako wakati wa kuzaliwa au!
 
Naomba kufahamu mfano Mimi ni kijana jina langu linaanzia na herufi D..ili nipate mwenza wakuendana nae ( mke) nashauriwa awe jina linaloanzia na herufi ganiii? Ntashkuru kwa majibu
 
Mimi nina jina la nyumbani,la shule na la ubatizo na herufi za mwanzo ni tofauti

Naulivyoelezea hizo tabia sina hata moja,sijui imekaaje hii
 
Back
Top Bottom