Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
[emoji109] [emoji109] [emoji109] !!!Kwangu ni sahh
HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu.
Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka.
Nina majina matatu , la nyumbani, la shuleni/kazini, la kijijini,
so nishike maana ya herufi ipi ?!
urongo siamini, ni kama vile unakwenda kwa mganga.
LOWASA =L =mtu Wa Vitendo