mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Amina...karibu sana PM yangu iko wazi 😂😂😂Ubarikiwe Sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina...karibu sana PM yangu iko wazi 😂😂😂Ubarikiwe Sana .
Hahahaha..Hujawai kuwa na mwanaume mtu wako saaana besti saana lakini hamfanyi???
Elijah, Elias mumemfanya nini huyu binti wa watu?E wahuni Sana yaani nyie na k damu damu hataree
Sana wako feki hatari yaani unawajua E.ngoja wengine wasemeE wahuni kinyama.
Wanadosoa kimya kimya sana.
Ila wako romantic hao [emoji2957]
Unataka nijaribu F .Frank or Felix??Amina...karibu sana PM yangu iko wazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo Sana hyoHahahaha..
Em kuwa serious basi.
Haiwezekani awe best yako sana afu unamuachia anaenda kushibishwa kwingine. Lazima umpe bhana
Wahuni sana ni kina Evance, Erick, Edger.Elijah, Elias mumemfanya nini huyu binti wa watu?
Hahaha asee.. Kwamba hii kitu ni kweli? Ila mleta Mada kaumizwa na Elia nadhani..Wahuni sana ni kina Evance, Erick, Edger.
Mmh ngoja nije chumbaniUnataka nijaribu F .Frank or Felix??
Na vp kuhusu JE wahuni kinyama.
Wanadosoa kimya kimya sana.
Ila wako romantic hao [emoji2957]
[emoji58]Hujawai kuwa na mwanaume mtu wako saaana besti saana lakini hamfanyi???
Waongo hatare.Uzi haujakamilika bila kuelezea herufi S
Nimeolewa ila sio kiviiileMiss Natafuta si ulisema umeolewa tayari jamani? na ukasema hutafuti tena?
hahahaahahahahahaahhaNimeolewa ila sio kiviiile