Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

Wako poa Sana
[emoji18]
download-6.jpg
 
Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa.

Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia herufi G .g nilishawai kusettle kwa miaka kadhaa hatukufika final lakini ma g nao ni watu amaizing sana.

Herufi E wababaishi sana wapenda chini kimya kimya japo wengine wana jina na mbinguni kabisa ila naombeni uzoefu wa wengine kuhusu A na G kuna Jambo nataka kufanya.
Kwa kutambua wale wa herufi “A” umetuinua kinamna flani 😂😂😂 ni kweli hujakosea kabisa
 
E wahuni kinyama.
Wanadosoa kimya kimya sana.
Ila wako romantic hao 🤪
Umemgusa chalii yangu mmoko ni silent killer kinyamaa🤣 hakuna mtu mstaarabu kama yeye mbele ya hadhara ila ni hapo chini sasa...anazidusua ile ile sema kimya kimya sana!
 
Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa.

Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia herufi G .g nilishawai kusettle kwa miaka kadhaa hatukufika final lakini ma g nao ni watu amaizing sana.

Herufi E wababaishi sana wapenda chini kimya kimya japo wengine wana jina na mbinguni kabisa ila naombeni uzoefu wa wengine kuhusu A na G kuna Jambo nataka kufanya.

Ha ha ha ha yaan huyu EMMANUEL huyu ni ana ujamaa na lucifer kabisaa... hafananii na jina lake. Ni tukio after tukio. Emma mamboz? Bado hujaweka ID humu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
 
Wanachezea jina la yesu
 
Na kweli Acha wacheze tu waonjane.

Ila niwakumbushe tu Wanawake sisi mileage zinahesabika.

Hawa wenzetu wao wanaboresha tu mechi wanakuwa mafundi balaa wa kupeleka moto. Sisi tunabaki used.

Ni hayo tu.
Nipe mechi ya kirafiki basi rafiki kabla mileage haijasogea sana.
 
Back
Top Bottom