Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

Hili suala ni kama magonjwa ya msimu.
Kuna wakati mnasifia akina Chris, mara Kelvin kuwa wapole na romantic. Yakipanda mnawageuka mnahamia kwa akina Elijah na kusema Chris na Kelvin wanapenda skirt sana[emoji3]

Ndiyo maana hakuna vitabu vyenye kanuni za mapenzi.
 
Subiri kwanza.

Hapo pa ku joke haupo serious na mahusiano naomba kuuliza.

Unatoa hautoi?

Kama unaliwa jamani si serious hapo ama mnacheza Cha Baba na Mama ukubwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kweli Acha wacheze tu waonjane.

Ila niwakumbushe tu Wanawake sisi mileage zinahesabika.

Hawa wenzetu wao wanaboresha tu mechi wanakuwa mafundi balaa wa kupeleka moto. Sisi tunabaki used.

Ni hayo tu.
Daaaaah.
 
A for Andunje
D for Dabiliyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…