Hesabu kwa siku ya Bajaj

Hesabu kwa siku ya Bajaj

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
hesabu kwa siku ya bajaj tsh ngapi wadau nipo dar na kulipia sumatra kuna umuhim
 
Ths. 20,000/=

Kulipia sumatra ni muhimu maana ni kwa mujibu wa sheria
 
duh 20,000x 30=600,000/, x 12=7,200,000=(kwa mwaka) ,na bei yake ni 5000,000/
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....
 
kwa hiyo bajaji haiwezi kukaa kwa miezi6
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....

mkuu nilichukua mkopo wa fuso NBC sitosahau...ila ilinifisilisi miezi sita mingi gari hoi na hela siioni na marejesho miezi 36. hapo nimerejesha miezi sita gari haifai.
rejesho 1,300,000 /=
don't try this!!!
 
mchine yoyote hile inaitaji usimamizi mzuri kama utanunua bajaji original ina kwenda service on tym mbona utafurahi inatakiwa usimamizi tu
 
ilo fuso lilikua lina fanya kazi ipu hasa
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....

mkuu acha upotoshaji. mimi nina bajaj ina mwaka na nusu sasa na bado iko bomba sana. cha msingi ni matunzo tu. hakikisha umemkabidhi mtu mzuri na service unafatilia kwa makini kila baada ya wiki 2 au 3. kiukweli ni biashara isiyokuwa na stress kivile. mie hela yake imesharudisha sasa nakula faida tu.
 
kweli kabisa mkuu inalipa sana iyo biashara
 
mkuu acha upotoshaji. mimi nina bajaj ina mwaka na nusu sasa na bado iko bomba sana. cha msingi ni matunzo tu. hakikisha umemkabidhi mtu mzuri na service unafatilia kwa makini kila baada ya wiki 2 au 3. kiukweli ni biashara isiyokuwa na stress kivile. mie hela yake imesharudisha sasa nakula faida tu.

sawa mkuu. sipati faida yoyote kupotosha naongea kwa experience.
 
mchine yoyote hile inaitaji usimamizi mzuri kama utanunua bajaji original ina kwenda service on tym mbona utafurahi inatakiwa usimamizi tu

kuwa na bajaj afadhali uwe na kibanda cha TIGO PESA,M-PESA etc...unapata hela nyingi na less stress.
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....

Ningeomba tuwe wakweli na tusiwe wanafiki
Wanaofanya bishara hiyo ni watu na wao wanamitizamo yao,na kama ingekuwa hailipi basi wangeacha.na sio kila unachokipenda wewe ndio mtu afanye.Na ndio maana mtu akinunua moja baada ya muda anaongeza nyingine.
We unasema Daladala,wakati ndugu zako wenyewe wanapanda.
tataizo mtu anataka akitoa pesa basi kesho imlipe,we umeona wapi.Na wengie matumizi ni makubwa,unepewa 15,000 kesho huna kitu ikifka siku ya Service mweupee,na ikipata tatizo kubwa ndio kabisaa.Mwisho unamuona Dereva mbaya.

Wapo wanaowekeza mpaka milioni 100 kwa malengo marefu ya kumlipa baada ya miaka mitano hadi sita.Mwisho wa siku
ikijilipa anakula bata.Kisha sie tunaona kama wamebahatisha kumbe ni malengo ya muda mrefu.
We angalia DCM au Gobole zile za Dar unafikira wao wameneunua lini kwa jinsi baadhi yake zilivyo,unakuta miaka hadi kumi imo njiani,imezalisha kama nane kamahizo.

Ninavyofaham, mie Bajaji kwa Dar ni Tsh:15,000 kwa siku kwa sasa.Usimbane sana Dereva biashara imekuwa ngum sana.
Ndani ya mwaka inakulipa kisha unaendelea kula bata.

Muhim kwenye vyombo vya moto ni Services tu,nakutokupuuzia tatizo hata kama ni dogo.
Na ndio maana unaweza kukuta Gari bovu sana kwenye bodi ila Engine yake bado nzima sana.Hii ni kwamba inapata Services ya maana na inahudumiwa.
 
Back
Top Bottom