Hesabu kwa siku ya Bajaj

Hesabu kwa siku ya Bajaj

Mkuu ngoja nikupe experience moja niliyojifunza mtaani kwangu kutoka kwa kijana aliyekuwa ameajiriwa kama muuza chips kwenye bar ya mtaani.
Huyu kijana yeye alijichanga akanunua bodaboda then
akamkabidhi mtu kwa makubaliano kwamba afanyie biashara na ikishalipa hela ya kununualia na faida juu anamkabidhi inakuwa yake.Huyu kijana kwa sasa yupo mbali sababu kila baada ya miezi 8 ananunua bodaboda mpya na kuwapa watu kwa makubaliano hayo

Alifanya hyo sababu anajua ukimwambia dereva kuwa itakuwa yako baadae ataitunza na kuhidumia ipasavyo,pia inampa motisha ya kufanya kazi kwa bidii ili hela irudi na faida ipatikane fasta aweze kuimiliki bodaboda,ndio maana hata mwaka haufiki hela inarudi na faida juu hivyo ananunua bodaboda nyingine.
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....

Inategemea na madereva utakaowapata, watu wamezalisha mpaka wana bajaji ishirini kwa sasa, ukinunua bajaji bora na kumkabidhi mtu makini inalipa.
 
baada ya miezi 6 tu bajaj hio haifai ni ya kutupa.....biashara ya bajaj,taxi,daladala ni sawa sawa na kuweka hela yako 5M,12M,30M RESPECTIVELY na kutumia kidogokidogo hadi inaisha....
Hii naipinga kabisa
 
Back
Top Bottom