Hesabu ndogo sana; Kwanini Serikali iliwaamuru Polisi wasimtaje mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo hadi uchaguzi wa serikali za mitaa uishe

Acha ujinga bwana. Polisi wenyewe ndio walisema wanamjua lakini hawatamtaja kwa sasa. Sasa unachobweka hapa ni nini hasa, tatizo la afya ya akili?
 
Kwa mfano wewe ndio ungekuwa umefiwa na ndugu yako katika hilo jengo ungefanya nini?
Ningeishitaki serikali big time! Na obviously, nisingekuwa nawashabikia hawa viongozi, kitu ambacho sifanyi anyway, japo sikuwa na ndugu yangu pale. Nachukia uzembe wa aina yeyote ile, na ujinga usiotibika
 
Wakimtaja aibu watapata wao
Vibali vya ujenzi walitoa wao
Wahandishi waliojenga ni wao
Uzembe ni wao
Uzembe wa kuokoa ni wao
Utumiqji wa vifaa duni yaani unafukua gorofa 1 week 2
 
Kwe Kwenye heading, hivi kati ya mipango miji na polisi auTBA ni nani mwenye jukumu la kumtaja mmiliki wa jengo?
 
Vinafanyaga Sasa?
 
Don't trust anyone
 
Acha ujinga bwana. Polisi wenyewe ndio walisema wanamjua lakini hawatamtaja kwa sasa. Sasa unachobweka hapa ni nini hasa, tatizo la afya ya akili?
Mwenye ujinga ni nani kama siyo wewe kilaza?
Kama polisi walishasema wanamjua ila hawatamtaja kwa sasa unachoshupaza shingo ni nini?
Tulia bwana mdogo, hao polisi wafanye kazi yao! Usijifanye mjuaji, hata ukibwaja na kulia hapa kama unavyofanya haisaidii chochote!
 
NINAOMBA UONGOZI WA JAMAII FORUM UNIPOSTIE HILI WAZO LANGU KWENYE PAGE YA INSTAGRAM.

NIMESIKITIKA KUONA WAMILIKI WA JENGO LA GHOROFA LILILO POROMOKA KARIAKOO WAKIKAMATWA.

BILA KUWAONA.
1. MANISPAA WALIOTOA VIBALI VYA UJENZI.

2. MKANDARASI WA JENGO NA MAFUNDI WAKE.

3. MUHANDISI WA MANISPAA NA WAKAGUZI WA ILALA WOTE WANA KESI.

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Msije mkampiga
 
HATUTEMEI KURA ZA WALALA HOI SISI.
AJULIKANE AU HASIJULIKANE KABLA YA UCHAGUZI SIS TUNASHIDA KWA ASILIMIA 99.999999999999% 😀
 
Siku vyombo vya usalama vikiweza kuchora mstari kati ya chama na serikali apo mwanga unaweza onekana
 
Unamjua?

Ni nani huyo?

Kama wao hamtaji, sisi tumtaje ili wapate taabu ya kujitetea na kutengeneza uongo zaidi...

Njia ya mwongo ni kumuwahi mbele ya uongo wake ni kumsiliba na kinyesi cha uongo wake mwenyewe...

Ma CCM ni maongo, matapeli, mauaji na wezi wa aina zote za wizi duniani..!
 
Wewe "mwenye lolote", mbona ni mbovu zaidi ya huyo unaye msema?
Wewe unacho juwa ni kipi, ili utueleze hapa na tukubaliane na wewe badala ya huyo "asiye juwa lolote"

Huu ubabaishaji ulio enea kila mahali, ndani ya CCM, hivi kweli unadhani watu hawauoni na kuuelewa; kiasi kwamba wewe ndiye uchukue jukumu la kukana ulaghai ulio wazi?
 
Huna chochote unachojua kuhusu mmililik wa hilo jengo, zaidi ni habari za mtaani huko hata kama kweli mmiliki ni mwanachama wa chama tawala kwani ni dhambi?
Tueleze wewe kama "ni dhambi" kwa hiyo CCM na serikali yake kumtaja huyo mtu ni dhambi.
Wao ndio wenye wajibu na jukumu hilo.
Na kama huwezi kueleza hilo, eleza kwa nini ifanywe kuwa siri.
 
Nimesema nina lolote wapi sasa kama wewe si kilaza! Akili yako ina shida kubwa!
 
Nimesema nina lolote wapi sasa kama wewe si kilaza! Akili yako ina shida kubwa!
Usinge kuwa na lolote usinge andika hivyo ulivyo andika. Hii tu inaonyesha upungufu mkubwa wa akili ulio nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…