Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kamanda unatutia aibu sisi makamanda wenzako unapotumia mbinu hizi za propaganda uchwara. Jaribu kufanya mambo kisayansi zaidi.Kamanda mimi ni mtu wa Demokrasia. Kwani wewe unaweza kuniambia tundu Lissu kakukosea nini?