Uchaguzi 2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

Uchaguzi 2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

Hivi unajua ccm inategemea wakurugenzi kutangaza wasio washindi!??? Hivi hujui ndio ccm wanachotegemea!??? Amini nakwambia ccm watatangaza wezao walioshindwa vibaya na mahakama zimewekwa mifukoni
Ni kweli kabisa, ila naskia jasusi mbobezi ana dawa ya hili
 
Mwaka huu hawapori nakuambia. Wao ndiyo wanaporwa!
Haupo makini mzee baba,wakati hata mbowe mwenyewe bunge lijalo mtihani[emoji23][emoji23],mmeshindwa kushughulikia tume huru halafu mnategemea wabunge wa upinzani35% washinde?... tulia atamtoa sugu pale mbeya mjini[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],system ....
 
Bila hivyo unafikiri itakuwaje, kumbuka majimbo kibao tu upinzani wamaekosa watia-nia wenye sifa.... majimbo mengi tu.
Watia nia upinzani wamepungua kwa sababu ya rais Magufuli kuongoza nchi kidikteta.

Chaguzi ndogo ziliacha makovu makubwa sana kwa wananchi hasa waliokuwa na mlengo tofauti na ccm.

Kuna waliokatwa mapanga na green guard kwa kushirikiana na polisi kuna waliofilisiwa Mali zao na kuna waliotishika na tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi tena mchana kweupe.

Hivi unafikri kauli ya Magufuli kuzuia wakurugenzi wasiwatangaze wapinzani haikusikika kwa wananchi na tume yenyewe ikakaa kimya juu ya kauli ile !!
 
Kesi ya Kihiyo na vyeti hapo sijaelewa ilikuwaje?

Nachojua tu mtu akiwa kilaza wanasema ni 'Kihiyo'
Katika fomu ya kiapo Kihiyo alidai kuwa alikuwa amehitimu elimu ya kidato cha nne kwenye shule fulani. Alikuwa mgombea jimbo la Temeke. Akashinda, akatangazwa mbunge. Akaingia bungeni.

Wapinzani walimshtaki kwa kutoa maelezo ya uwongo kwenye fomu ya kiapo. Mahakama ikamfuta ubunge Kihiyo. Mazingira yale yalikuwa ni sawa kabisa na hali ilivyo kwa Bashite.

Mwishowe mahakama kuu iliufuta ubunge wa Kihiyo, Mrema akagombea, na CCM ikabwagwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja ,CCM wakivurugana huko wakija CHADEMA na ACT wachukuliwe tu lengo ni kuongeza mtaji....Hata Maalim alikuwa CCM , Lema mwenyewe alikuwa TLP kwahiyo tusiwanyanyapae wakija kuongeza nguvu!! Iron Lady Bulaya katoka CCM lakini ana msimamo KONKI.
Chadema imejaa hakuna nafasi,,hakuna Jimbo au kata ambayo iko wazi
 
Back
Top Bottom