Uchaguzi 2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

Hivi unajua ccm inategemea wakurugenzi kutangaza wasio washindi!??? Hivi hujui ndio ccm wanachotegemea!??? Amini nakwambia ccm watatangaza wezao walioshindwa vibaya na mahakama zimewekwa mifukoni
Hamna kitu kama hicho mwaka huu. Watu watapigwa vibaya sana!
 
Kesi ya Kihiyo na vyeti hapo sijaelewa ilikuwaje?

Nachojua tu mtu akiwa kilaza wanasema ni 'Kihiyo'
 
ACT ina nafasi kubwa sana ya kuianza safari ya kuwa chama kikuu cha upinzani kupitia uchaguzi huu.

Sioni wenye akili timamu wakihamia chama tofauti na ACT
 
Ushauri wangu vijana.; vijana msipende kujiaminisha sana halafu, mwisho wa siku mnadai mmeibiwa.
Uchaguzi uliopita kuna walioambiwa kuwa kuna barua inatoka Ulaya kwa Wazungu, ICJ kuja kuzuia Rais kuapishwa. Hatari sana kuwekeza hisia zote kwenye hizi siasa zetu za Kiafrika.
 
Pointleeeesss!
 
Huwa najiuliza, hivi Mkwere ameshindwa kumshawishi BM kutulia ama kuomba radhi akarudi CCM? Na urafiki wote ule waliokuwa nao? Mkwere si alikuwa bingwa wa diplomacy yule? Ameshindwa kumshawishi Membe kweli? Kweli kabisaaa????? Wanapanga nini hawa?
Kumbe na wewe ushajiuliza eeh? Nahisi kuna something behind tusubiri
 
Kumbe na wewe ushajiuliza eeh? Nahisi kuna something behind tusubiri
BM anatumia haki yake. Unajua hawa wakubwa akipata hata mtu mmoja tu wa kumpigia kura ya kumkataa huwa wanaumia sana mioyoni mwao. CCM waliona kabisa kama ingetokea kura ya hapana wakati wa kumpitisha JPM angeweza kupata hata presha ndiyo maanahawakutaka kuonesha kuonesha kabisa kama kulikuwa na kura za hapana.
 
Asante Mkuu. Mimi ni MCCM ambaye demokrasia ikirudi nitabadili ID yangu hapo na kuwa user asiyeficha identity!
mkuu faida za kuficha id ni nyingi! kutukana viongozi waliokuudhi , kuepuka watu wasiojulikana, kuepuka mkono wa Karl Peters ambae anachukia mno mtandao, kuepuka jela mabuti na virungu! think twice mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…